Kama hana shida mkataba mnaong'ang'ania ni wa nini? Niambie nani aliwahi kusimama hadharani na kusema hataki muungano katika mentors wenuKama mchango wa znz ni jina je watanganyika ni nini wakula na kujificha huyo anazungumzia gharama za serikali tatu na CCM hawataki serikali tatu lakini kiukweli hasa kama mutaiwacha znz kwenye makucha yenu na mazingaombwe yenu ya muungano na ubadilishaji wa jina basi sisi tunauwezo wa kumudumu halafu shida ya muungano sisi hatuna hebu angalau jaribuni na nyinyi kufanya angalau kama alivyojaribu kufanya mzanzibari mmoja kwamba munafanya kwa vitendo na sio let znz go kuongea na kulalamika waambieni wabunge wenu wawafanyie kazi maana wao hodari kubadilisha katiba na kuikandamiza znz.
Unauliza kwamba znz imechangia nini kwenye tume ya Warioba jee Tanganyika pia imechangia nini kwenye tume ya warioba MUNACHUKUA MSAADA KWA JINA LA TANZANIA HAMUJUI KWAMBA JINA LA TANZANIA NI LA WOTE musitake haki sawa na Tanzania wakati nyinyi tanganyika.wala musijione Tanzania ni nyinyi na uzembe wenu huo mutabakia kua watanganyika hata kama jina hamlitaki mijizi mikubwa nyinyi.
Kwakweli Dr Sheni anazidi kuwaamsha Watanganyika. Yeye na mwenyekiti wa kamati ya fedha wanazidi kutufungulia milango ya fahamu hasa wale wanaoamini uongo wa znz kunyonywa.Tuanzie hapo kwenye red: Bunge la Jamhuri limeshainisha takriban Tsh 70billion kwa ajili ya hii Tume ya Katiba. Swali, Baraza la Mapinduzi wametenga kiasi gani kwa ajili ya hii tume?
Soma hapo chini alichosema Dr Shein - Rais wa Zanzibar. Na kumbuka Dr. Shein haongelei nadharia na simulizi za Michenzani, ana experience ya hayo anayosema.
....Akizungumzia masuala ya Muungano, Dk Shein alisema licha ya mchakato wa Katiba Mpya kuendelea, Serikali zote mbili (Muungano na Zanzibar), zimeendelea kujadili masuala muhimu na changamoto zilizopo na kusema siyo sahihi kubeza mgawo wa sasa wa mapato ya Muungano ambao Zanzibar inapata asilimia 4.5.
"Jeshi la Wananchi na JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) wanatumia mabilioni mangapi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia... Sisi (Zanzibar tunatoa ngapi?)"
Dk Shein: Mimi ndiye msemaji mkuu wa Z cc nguruvi JokaKuu
Hakuna mamlaka kama unaomba msaada wa kuendesha serikali. Mwenye mamlaka ni yule mwenye kitu mezani siyo maneno.
Hilo bunge la katiba litafanya nini? Mbona wapo Dodoma kila siku na hawasemi. Juzi wameongezewa wa BLW hakuna kitu.
Mimi sipo huko kwa vyama nipo kwa masilahi ya Tanganyika na Watanganyika.
Tuacheni tupumue jamani, migongo inatuuma yarabi.
Ka nchi kanaingiza bilion 240 kwa mwaka lakina kana kelele kama ngoma za baikoko
Kama hana shida mkataba mnaong'ang'ania ni wa nini? Niambie nani aliwahi kusimama hadharani na kusema hataki muungano katika mentors wenu
Nikutajie kwa uchache
Jusa alisema anataka muungano(rekodi ipo)
Ahmed alisema anataka muungano(rekodi ipo)
Maalim alisema anataka muungano(rekodi ipo)
Nasor Moyo anataka muungano(rekodini)
Mansour Himid anataka muungano(rekodi ipo)
Karume ndiye kabisa anaishi mikocheni
Jumbe anaishi mji mwema
Profesa Sahrif anataka muungano
Nahodha anataka muungano
Raza anataka muungano(rekodi ipo)
Hamad Rashid anataka muunganano(rekodi ipo)
Pili, hakuna aliyewashikilia kilichopo mumejishikilia wenyewe
1. Tuliwashauri mdai kura ya maoni na si katiba mkagoma
2. Tukawaambia msilete wajumbe tume ya Warioba, mkaleta tena Ally Salehe wa BBC akiwemo
3. Tukwaambia mchakato si sahihi kwa kupata katiba mpya, mkaungana CCM na CUF kupitisha mswada kirahisi
4. Tukwaambia katika maoni semeni hamtaki muungano, mkagoma na kusema mnataka mkataba
5. Tukawashauri makamu wa rais arudi nyumbani kwasababu uwepo wake ni uwakilishi wa znz katika muungano
6. Tukashauri muache kazi katika JMT na kurudi nyumbani, mkagoma
7. Tukwaambia anzisheni sarafu yenu kama mlivyopata wimbo wa taifa na bendera, mkagoma
8. Tukawashauri msijishughulishe na shughuli za muungano, juzi BLW likahamia Dodoma
9. Tukawaambia wabunge wenu wasije Dodoma, mkachomoa kila kikao wapo na wanashughulika na maneno kama Uliberali
10. Tukwaambia pelekeni mswada BLW muiondoe znz katika muungano kama mlivyoanzisha vikosi na saluti 21 za mizinga
11. Tukasema kama mumeshindwa wabunge wenu wanaokuja Dodoma japo waombe muongozio kuua mkataba,nothing
Sasa imebaki nafasi moja ambayo hamtaki kuitumia
12. Susieni bunge la katiba, hadi hapo katiba mpya na muungano kwisha, hamataki mnataka wajumbe wengi kwa jinsi mnavyotamani muungano.
Si kweli kama hamtaki mnachofanya ni kutishia ili mupewe mafao zaidi, this time around hakuna.
Kasome rasimu halafu uniambie wapi kuna unafuu, ndio taraibu tunafungua mbeleko.
Tanganyika ikipata serikali rasmi ndio tunawaweka katika zulia tunaendelea na safari.
Tanganyika ni njema atakaye na aje
Migongo inauma, tuacheni tupumue.
Tuanzie hapo kwenye red: Bunge la Jamhuri limeshainisha takriban Tsh 70billion kwa ajili ya hii Tume ya Katiba. Swali, Baraza la Mapinduzi wametenga kiasi gani kwa ajili ya hii tume?
Soma hapo chini alichosema Dr Shein - Rais wa Zanzibar. Na kumbuka Dr. Shein haongelei nadharia na simulizi za Michenzani, ana experience ya hayo anayosema.
....Akizungumzia masuala ya Muungano, Dk Shein alisema licha ya mchakato wa Katiba Mpya kuendelea, Serikali zote mbili (Muungano na Zanzibar), zimeendelea kujadili masuala muhimu na changamoto zilizopo na kusema siyo sahihi kubeza mgawo wa sasa wa mapato ya Muungano ambao Zanzibar inapata asilimia 4.5.
"Jeshi la Wananchi na JKT (Jeshi la Kujenga Taifa) wanatumia mabilioni mangapi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia... Sisi (Zanzibar tunatoa ngapi?)"
Dk Shein: Mimi ndiye msemaji mkuu wa Z
cc nguruvi JokaKuu
Barubaru,
..nakubaliana na wewe 100% kwamba uchumi wa Znz unaweza kupaa.
..lakini hilo litategemea kama mtajipanga vyema na kutumia rasilimali zenu vizuri.
..pamoja na hayo,nasimama ktk hoja yangu kwamba muungano hauwezekani kutokana na tofauti kubwa ya kieneo na population baina ya Tanganyika na Zanzibar.
NB:
..Mwakilishi hajasema kwamba Znz haiwezi kusimama peke yake na kupaa kiuchumi, bali amesema Znz haina uwezo wa kuchangia 50/50 masuala ya muungano. He also defended his views with data.
cc gombesugu, Nguruvi3
Yatakuhusu vipi na wewe sio raia wa tanzania? Kama hoja ni kitovu kakifukue ukichukue ukizike huko Oman; hivi unajua maana ya unyonyaji au unataka kufurahisha baraza? Pole jipe wewe usiyejitambua huko Oman wewe 3rd class citizen utawatisha hao wasiojua; pole sana Barubaru Tanzania neema ndiyo hizi zmeanza acha tuzile kwa kujinafasi!
JokaKuu,
Nimekusoma Sheikh wangu.
Lakini pamoja na jitihada za haya malumbano/"majadiliano" yoote hapa jamvini,ingekua vyema pia tukajua je kiasi gani(percentage) hiyo JMT inapata kila mwaka toka kwa "nchi Wahisani" ili kuchangia/kukidhi mahitaji ya Bajeti yake!?
Khalaf,hapo tutajua Zanzibar inachangia kiasi gani!? Lakini tukumbuke pia ya kwamba hiyo "misaada" ya aina yoote,Zanzibar nayo imo humo nusu bin nusu,maana hiyo "misaada" na "michango" itolewayo na hao "Wahisani", huombwa kwa niaba ya JMT...ambayo ni Tanganyika/Zanzibar!?
Mchanganyiko/kizaazaa chengine kinakuja pale yakuwa hiyo Tanganyika haipo asilan kwa sasa,iliyopo ni theory tu...sasa yawaje leo iwe theory ndo inachangia!?
Au nyinyi "Wadanganyika" wenzetu pale mnachaganya baina ya JMT na Tanganyika!?...kama ndivyo mfikiriavyo/mfanzavyo,basi itakuwa mnafanza hadaa!?
Kwa kifupi kilichopo kwa sasa ni Serikali mbili tu...JMT na SMZ,hii ni kisharia.
Nafikiri wakti muafaka umewadia wa nyinyi nanyi,kujiunga na fikra kama za wenzenu Wanzanzibary ili kudai hiyo Tanganyika irejeshwe,kuliko kushinda mitandaoni kuwafanzia kebehi na tashtit wenzenu wa Unguja na Pemba.
Nipa fursa kutumia lugha ya humu Jf kiduchu;yakuwa nyinyi Watanganyika mnadandia treni kwa mbele!
...kwanini mnashughulika na kutaka mahisabu/takwimu,au kujinasibu yakuwa ati "mnadai",huku mkijua fika yakuwa huyo Tanganyika hata kisharia hayupo asilan,yaani ni mauti!?
Kwa kifupi,nendeni kwanza mkajipange upya na kuifufua hiyo maiti aka Tanganyika,nasi twakusubirini na mtatukuta hapa hapa,khalaf ndipo tujezungumza kiungwana na "kijitu kizima".
Niwie radhi kama pana lolote labda nimekwenda mrama dhidi yako kwenye huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.
Ukweli umetimia sasa wanahangaika. Uongo wa kusema Tanagnyika inawanyonya sasa hadharani.
Kitu cha ajabu sana ni hao hao wanataka tume iwe asilimia 50, wanataka bunge la katiba liwe asilimia 50. Wanataka viongozi wa muungano na wafanyakazi wa serikali ya muungano wawe nusu kwa nusu.
Tumewahi kuwaeleza mara nyingi sana wazanzibar akiwemo Jusa na Ahmed Rajab kuwa Tanganyika haihitaji znz kwa lolote. Hatuhitaji znz ila znz inatuhitaji sana.period.
Ona sasa imefika wakati wa gharama wanajichafua nguo hovyo. Wale wanaosema Tanganyika inawanyonya znz wajiulize kama mwenyekiti wa kamati anasema hawana uwezo, Tanganyika inawanyonya wapi.
Hawa watu wamefundishwa ujinga wa kuamini maneno ya mitaani bila ushahidi wa kiuchumi.
Tunasema hivi serikali ni tatu na kila mmoja achangie sawa.
Muda wa kubeba watu migongoni wakitukana hovyo iumekwisha.
Hiki ni kijimkoa tu lakini kelele tu wamejaaliwa. Tutakomaa hadi mtaomba radhi kwa maneno yenu machafu.
Wananyanyua pua eti muungano ni nchi mbili wabia sawa. Thubutu, wabia sawa wakati wewe unachangia maneno na kelele ! usawa wa ubia upo wapi.
Wewe unavia kodi za Mtanganyika halafu unasema ubia sawa. Hawa watu waajabu sana.
Leo wanasema hawana uwezo na wakati wa kujadili muungano hali ya uchumi iangaliwe.
Ni hawa hawa walikomaa tume iwe na wajumbe sawa. By the way hawajui gharama za tume wala za bunge la katiba.Kelele zitawatokea puani this time
fungeni midomo na muwe na adabu. Shikeni adabu, muungano uchumi si mipasho na taarabu.
Leteni kitu mezani si kuvizia nafasi za urais wa zamu na uwaziri. Kupe wakubwa mninyi.
Mkome kusema mnanyonywa, nani anyoinye mnasikini wa mapato kama yenu.
Mkome kudai vyeo msivyojua gharama zake. Matabaki chini ya kivuli cha Tanganyika kwasababu hamna uwezo.period
GHIBUU takashi Jusa Jasusi JokaKuu Kakke Jasusi Nonda gombesugu Zinedine FJM
Waachwe waende zao
gombesugu,JokaKuu,
Nimekusoma Sheikh wangu.
Lakini pamoja na jitihada za haya malumbano/"majadiliano" yoote hapa jamvini,ingekua vyema pia tukajua je kiasi gani(percentage) hiyo JMT inapata kila mwaka toka kwa "nchi Wahisani" ili kuchangia/kukidhi mahitaji ya Bajeti yake!?
Khalaf,hapo tutajua Zanzibar inachangia kiasi gani!? Lakini tukumbuke pia ya kwamba hiyo "misaada" ya aina yoote,Zanzibar nayo imo humo nusu bin nusu,maana hiyo "misaada" na "michango" itolewayo na hao "Wahisani", huombwa kwa niaba ya JMT...ambayo ni Tanganyika/Zanzibar!?
Mchanganyiko/kizaazaa chengine kinakuja pale yakuwa hiyo Tanganyika haipo asilan kwa sasa,iliyopo ni theory tu...sasa yawaje leo iwe theory ndo inachangia!?
Au nyinyi "Wadanganyika" wenzetu pale mnachaganya baina ya JMT na Tanganyika!?...kama ndivyo mfikiriavyo/mfanzavyo,basi itakuwa mnafanza hadaa!?
Kwa kifupi kilichopo kwa sasa ni Serikali mbili tu...JMT na SMZ,hii ni kisharia.
Nafikiri wakti muafaka umewadia wa nyinyi nanyi,kujiunga na fikra kama za wenzenu Wanzanzibary ili kudai hiyo Tanganyika irejeshwe,kuliko kushinda mitandaoni kuwafanzia kebehi na tashtit wenzenu wa Unguja na Pemba.
Nipa fursa kutumia lugha ya humu Jf kiduchu;yakuwa nyinyi Watanganyika mnadandia treni kwa mbele!
...kwanini mnashughulika na kutaka mahisabu/takwimu,au kujinasibu yakuwa ati "mnadai",huku mkijua fika yakuwa huyo Tanganyika hata kisharia hayupo asilan,yaani ni mauti!?
Kwa kifupi,nendeni kwanza mkajipange upya na kuifufua hiyo maiti aka Tanganyika,nasi twakusubirini na mtatukuta hapa hapa,khalaf ndipo tujezungumza kiungwana na "kijitu kizima".
Niwie radhi kama pana lolote labda nimekwenda mrama dhidi yako kwenye huo uchechefu wangu kiduchu.
Ahsanta.
Ahalan wa sahalam Gombesugu, salaamu alaykum w.w.
Si kuwa hawayajui hayo bali wamekuwa kila wakti wakijitoa fahamu. Hivyo kuwa wana macho hawaoni, wana masikio hawasikii na wana pua hawanusi basi hata kugusa hamuwezi!! poleni sana
Jiulize nchi yenye watu milioni 45 kuungana na nchi yenye watu milioni moja na nusu , tena muungano wa pasu kwa pasu inaingia akilini kweli.
wajumbe wa tume ya katiba kutoka Znz na wale kutoka tanganyika wote wapo sawa na wana kura sawa inaingia akilini kweli.
Ila wao wamebobea katika kuibana Znz kiuchumi hususan kwa kutumia hiyo misaada na mikopo kwa kutumia jina la Tanzania. Je huo kweli uungwana?
kama alivyosema JUSSA kuwa sasa inatakiwa iitwe JAMUHURI YA NCHI ZA TANZANIA ( United Republics of Tanzania)
gombesugu,
..suala la mapato ya Tanganyika vs Zanzibar lilishaletwa hapa JF ambapo tulipitia taarifa za chombo kinaitwa Joint Finance Commission. Tulichokiona ktk taarifa hizo kinashabihiana na maoni ya huyo mwakilishi.
..baadhi ya wachangiaji hupenda kucheza-cheza vifungu vya sheria na maneno. sasa watu kama hao hukwama pale takwimu zinapowekwa wazi. katika suala la mapato/makusanyo ya fedha za ndani ukishatoa mahesabu ya Zanzibar kilichobakia ni jasho la wa-Tanganyika.
..mwisho, naendelea kusisitiza kwamba muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar hauwezekani kutokana na tofauti ya eneo na population baina ya mataifa haya mawili.
..Znz inaweza kusimama yenyewe na kupiga hatua za maendeleo nje ya muungano. kinachotakina ni Znz kuwa na sera nzuri na utekelezaji makini ktk matumizi ya rasilimali zake. kama Seychelles, na Mauritius wameweza, sioni kwanini Zanzibar ishindwe.
NB:
..nimekusamehe kwa kutukejeli na kutuita "wadanganyika", na kuifananisha Tanganyika na maiti.
cc Barubaru
BarubaruPole sana ahali yangu.
Kumbuka hata Serikali ya Uingereza imewaonea huruma na ndio maana ikasimama kidete kuwarudishia chenji ya RADA. Hivyo nami si ajabu kusimama na kuona nchi nilikozaliwa inakuwa huru bila kudhulumiwa.
Je umepata bahati ya kupitia gazeti la leo huko Tz la Mawio. nasikia JUSSA kamwaga vitu ile mbaya kuhusu Znz haitaki muungano wa mashaka. Pitia hilo nami inshallah Keshi nitalipata.
Pole sana
Umesoma na maneno haya?Kutoka katika link hiyo hiyo soma maneno haya
''Serikali ya Tanzania bara itabidi ichangie sana katika Muungano.
Tuliamua hili kwa kuwa tuliamua kuulinda Muungano, lakini kuhusu gharama kutakuwa na njia nzuri za uchangiaji kutoka kila upande''
Ukweli umetimia sasa wanahangaika. Uongo wa kusema Tanagnyika inawanyonya sasa hadharani.
......
Hawa watu wamefundishwa ujinga wa kuamini maneno ya mitaani bila ushahidi wa kiuchumi.
Tunasema hivi serikali ni tatu na kila mmoja achangie sawa.
..
Hiki ni kijimkoa tu lakini kelele tu wamejaaliwa.
GHIBUU takashi Jusa Jasusi JokaKuu Kakke Jasusi Nonda gombesugu Zinedine FJM
gombesugu,
.....
..mwisho, naendelea kusisitiza kwamba muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar hauwezekani kutokana na tofauti ya eneo na population baina ya mataifa haya mawili.
..Znz inaweza kusimama yenyewe na kupiga hatua za maendeleo nje ya muungano. kinachotakina ni Znz kuwa na sera nzuri na utekelezaji makini ktk matumizi ya rasilimali zake. kama Seychelles, na Mauritius wameweza, sioni kwanini Zanzibar ishindwe.
.....
Kuna sehemu Warioba kasema itabidi Tanganyika ichangie zaidi.Umesoma na maneno haya?
Kodi ya mapato ndiyo inatoa fedha nyingi sana na inafuatiwa na kodi ya ushuru wa bidhaa na ushuru wa forodha. Kutokana na hesabu tulizopiga, tumeona matumizi katika Serikali ya Muungano yapo katika sehemu mbili, moja ni yale ya Muungano na ya pili ni yale ya Tanganyika ambayo yanachukua fedha nyingi.
Serikali tatu ndiyo suluhisho la kudumisha Muungano kuliko Serikali moja au mbili.
Hayo hapo juu ni maneno ya Warioba.
Wewe maalim Nguvu3 na mwenza ako, Mkijiji mnataka serikali moja, itakuwaje?
Unakikumbuka hiki kijarida? Ulikibeza sana....
link https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/100638-shirikisho-ndani-ya-shirikisho.html