Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Zanzibar iache unyanyasaji wa raia wenye asili ya Bara.
MV spice Islander ilipomezwa ulikuwepo kutoa huo msaada wa kibinadamu!!!!!!!!!!!!!!!!!mjinga mpe mdaWacheni hivi mnapapasa au mnajua kilichopo ,hivi Mungano wa Ulaya una nchi ngapi ? Katika nchi hizo hakuna zilizo ndogo na ambazo nyingine bora Zanzibar kwa Utajiri ,Hapa kwenye huu Muungano tunaojing'ang'aniza wa EAC hivi nchi zote ni tajiri ?
Tatizo lipo wapi au kwa huyo memba wa Chama Cha Mashetani (CCM) ambae anajivutia huko upande wa pili yakhe kama tutakuwa hatuna uwezo hapana jipya eti ,si tutagawana mbao tu ! Aafu tutajiunga na Kenya na Uganda na Rwanda ,tutapeleka maombi huko ,ila kwenu kwa vile tutakuwa hatuna uwezo tutawasamehe ,halafu nyie wazito sana hamubebeki ,ndio maana akina Kenya wamewatenga kiaina ,mnaonekana mumo lakini hamumo ,kiukweli mpo outside mpo kama outsider tu.
Sina wakati mrefu kwa sababu nipo hapa Philipines tukitoa msaaada wa kibinadamu.
Ikiwa hawawezi kugharamia muungano wataweza kweli kuchangia gharama za mashirikisho hayo? Mimi bado naunga mkono muungano lakini kwa uwazi ili Kila upande ufaidike lakini pia uwajibike. Masimango hatutaki, maana kuna kauli kuwa tunawaziba, tunawaibia, tunawanyima nafasi za ubalozi n.k.Yes, nilikuwa nina maana hiyo na nimebadilisha. Thanks kwa dokezo.
Ninakubaliana na point yako lakini huoni kuwa kuna matatizo mbele kwa sababu kama wameishasema hawawezi hata kulipia 10% ya mchango wa muungano ina maana hakuna faida ya kuwa na muungano kwa Tanganyika.
Kama anasema ili kutetea kisiasa hoja ya Serikali mbili basi hajui kuwa angalizo lake linatufanya tuhoji mchango wa Zanzibar katika muungano huu uliopo na faida ya Tanganyika kuwepo ndani ya huu muungano ambao bila hata kuchunguza kwa undani ni ukweli kuwa Tanganyika inabeba gharama za Tanganyika na pia muungano achilia mbali utumishi ambao unawanufaisha Wazanzibar kwenye 50-50 wakati idadi yao yote ni kama mkoa mmoja wa Tanganyika.
Mimi nilishasema muda mrefu kuwa hatuhitaji Muungano kwa sasa. Ni bora kila nchi ibebe mzigo wake na tukutane kwenye mashirikisho kama SADC, EAC, COMESA, AU n.k.
Znz hawataki kuwajibika kwa lolote lile. Wanachotaka ni vyeo, nafasi za kazi, kuruhusiwa kuingiza bidhaa zo bila kodi na kila aina ya ubwanyenye na umwinyi. Hawana kitu kinaitwa gharama katika misamiati yao.Ikiwa hawawezi kugharamia muungano wataweza kweli kuchangia gharama za mashirikisho hayo? Mimi bado naunga mkono muungano lakini kwa uwazi ili Kila upande ufaidike lakini pia uwajibike. Masimango hatutaki, maana kuna kauli kuwa tunawaziba, tunawaibia, tunawanyima nafasi za ubalozi n.k.
Mwiba, gombesugu,
..Zanzibar ni ndogo kieneo na kiuchumi.
..kuitia ktk muungano na Tanganyika ni kutafutana ubaya na lawama.
..haya mambo tumekuwa tukiyasema kwa muda mrefu sana hapa JF.
..tunaposema hayo wengine mnafikiria tumeamua kuwavunjia heshima lakini huyo mwakilishi kasema ukweli.
..labda nikupeni mfano mdogo: kabla ya mapinduzi Znz majimbo ya uchaguzi yalikuwa hayazidi 30. sasa hebu angalia wakati huu tuna muungano Znz ina majimbo mangapi ya uchaguzi? majimbo yameongezwa Znz ifanane-fanane na Tanganyika.
cc Nguruvi3, Barubaru
hizi sarakasi za kina Jussa & co. lengo lao ni kuvunja muungano wala sio serikali tatu!
Tulieni! kasemea mwenzenu kuwa bajeti ya ulinzi na usalama ni trilion 1.3 ninyi bajeti ni 240bilioni. Lini Tanganyika itaitegemea znz. Leo tuna ushahidi kuwa kwa miaka 50 tumekuwa tunawalipia gharama halafu mnadai vyeo na nafasi za kazi.
Tume ya warioba znz 0 haikutoa hata senti tano. Mchango wa znz ni kukimbilia wajumbe sawa. Aly Salehe kapata ajira kimya. Bunge la katiba gharama zake hamuwezi kuchangia hata 1/8, mchango wenu vyeo na nafasi za ajira.
Hatuwahitaji, msije katika bunge la katiba,period. Tumechaoka kuwabeba mkicheza mdumange.
Hakuna pesa Tanganyika inadaiwa.
Ninyi hamjui kuhusu mgao mnaoupata kila mwezi. Hamjui huduma ambazo mumezipata kwa miaka 50 na leo watu wenu wanaweka wazi kabisa kuwa muungano uliendeshwa na kodi za Watanganyika.
Vunjeni muungano mdai machodhani kama hamtajikuta mnauza kisiwa chote.
Tumewaambi siku nyingi kuhusu gharama za muungano. Leo maji yamewafika shingoni mnalalamika kuhusu udogo.
By the way ninyi vijana wa Tanganyika mliokosa mikopo iulizeni serikali yenu kwanini mkose mikopo ili hali pesa za kodi za baba zenu zinakwenda ZNZ kwa mikopo ya wananfunzi wa 1) Kusoma bila kurudisha mikopo 2) Kupewa hata nafasi zenu kwasababu tu ya uzanzibar..
Eto hawataki muungano wakati wapo Dodoma! thubutu nani asiyependa sh ya Tanganyika!
Wanajiandaa kuongeza wajumbe waje kwenye bunge la katiba badala ya kuwakataza, huku uvunguni mwa vitanda wanapiga domo hawataki muungano.
Tumechoka kusikia kelele zenu tuna mambo mengi ya muhimu. Hatuwezi kuishi kwa kuwabeba mkicheza msewe halafu mnataka vyeo na ajira. This time around pasu pasu kama hamtaki njiaa nyeupee bandarini rudini mkaijenge znz ya pembe za ndovu na watumwa. Znz iliyokuwa inagawa sambusa barabarani na mapilau katika vituo vya mabasi, znz yenye neema.
Tuwabebe halafu mtukane! ebo! leo mnasema bila haya hamjiwezi! mkiondoka hapo mumechukua posho mnaelekea bandarini na matusi. Posho za Mtanganyika! tumechoka kelele na midomo yenu.
Tatizo leni si muungano ni jingine linalohitaji kampeni ya Lowasa.
Nguruvi3
Mkuu huyo hajasema kwa wazanzibar kasemea CCM na pia Tanganyika bajeti yake haijulikani na wala Tanganyika haipo ama unataka kunambia Tanzania ndio Tanganyika halafu mijitu mwengine bwana unatulipia gharama zipi na mshirika mwenza hayupo (Tanganyika) sisi tutajua nyinyi munachangia ngapi halafu TANZANIA NI LINI NA MWAKA GANI ILOTOA BAJETI YAKE YENYEWE BILA YA MSAADA KUTOKA KWA WAFADHILI mwenye ushahidi alete kujisifu kwingi sisi tunawasaidia tunawasaidia munatusaidia nini na walipa kodi wengi karibu ya wote ni sisi nyinyi wauzaji karanga na shanga barabarani na elimu na vyeti vyenu vya kuunga nyambaff kabisa.
Kuwa sawa katika wajumbe ni haki yetu si ombi musitugeuza yatima haki yetu mukaona kama munatugaia.
Fufueni Tanganyika halafu twambie tusije katika bunge sasa utakua huna adabu kutwambia tusije wakati mshirika mwenza kafa lakini marupurupu anachukua.
Tuwachieni Tupumue mtajua kama sisi kidogo bajeti ndogo ama sehemu ndogo ZNZ ILISTAARABIKA KABLA YA TANGANYIKA NA UWEZO WA KUFANYA HIVYO TENA TUNAO.
Mkuu
Naona ufahamu wako uko mbaali sana na sijui ulikua unapata ngapi form six ama form four HAKUNA KITU KINAITWA TANGANYIKA UNLESS UNAMBIE TANGANYIKA NDIO TANZANIA halafu me nataka kujua munatubeba wapi wakati bajeti ni ya msaada kwa tanzania siwafahamu ujuwe halafu sisi tunajulikana tunatoa ngapi jeee Tanganyika ilojificha inatoa ngapi
Kweli Zanzibar ni ndogo kieneo ila kiuchumi sidhani kama ilikuwa hivyo ila baada ya huu Muungano ndio mmetutilia ufukara na kutufanya tuwe watu duni sana ,mnataka tuwe tunategemea kila kitu kutoka huko Tanganyika na ndio kama inavyoonekana katika hoja zenu ,nyie nchi ndogo sijui uchumi wenu mdogo ,hebu ulizia na katafute historia ya Zanzibar ,Zanzibar wakati kabla ya Muungano ilikuwa vipi na ilitoa msaada kumsaidia nani ? Yakhe huu Muungano ukifa leo basi nakuhakikishieni machogo ,hautapita muda mrefu tutawasaidia tena tutawasaidia kwa ari na mori na moyo wa jeuri ,huko Tanganyika hamna kitu mmekalia kuti kavu. lazima mtapigana mapanga tu !
Mwenyekiti wa kamati yako kasema hamtaweza kwasababu mapato yenu ni bilioni 240.Mkuu
Naona ufahamu wako uko mbaali sana na sijui ulikua unapata ngapi form six ama form four HAKUNA KITU KINAITWA TANGANYIKA UNLESS UNAMBIE TANGANYIKA NDIO TANZANIA halafu me nataka kujua munatubeba wapi wakati bajeti ni ya msaada kwa tanzania siwafahamu ujuwe halafu sisi tunajulikana tunatoa ngapi jeee Tanganyika ilojificha inatoa ngapi
Ukweli umetimia sasa wanahangaika. Uongo wa kusema Tanagnyika inawanyonya sasa hadharani.
Kitu cha ajabu sana ni hao hao wanataka tume iwe asilimia 50, wanataka bunge la katiba liwe asilimia 50. Wanataka viongozi wa muungano na wafanyakazi wa serikali ya muungano wawe nusu kwa nusu.
Tumewahi kuwaeleza mara nyingi sana wazanzibar akiwemo Jusa na Ahmed Rajab kuwa Tanganyika haihitaji znz kwa lolote. Hatuhitaji znz ila znz inatuhitaji sana.period.
Ona sasa imefika wakati wa gharama wanajichafua nguo hovyo. Wale wanaosema Tanganyika inawanyonya znz wajiulize kama mwenyekiti wa kamati anasema hawana uwezo, Tanganyika inawanyonya wapi.
Hawa watu wamefundishwa ujinga wa kuamini maneno ya mitaani bila ushahidi wa kiuchumi.
Tunasema hivi serikali ni tatu na kila mmoja achangie sawa.
Muda wa kubeba watu migongoni wakitukana hovyo iumekwisha.
Hiki ni kijimkoa tu lakini kelele tu wamejaaliwa. Tutakomaa hadi mtaomba radhi kwa maneno yenu machafu.
Wananyanyua pua eti muungano ni nchi mbili wabia sawa. Thubutu, wabia sawa wakati wewe unachangia maneno na kelele ! usawa wa ubia upo wapi.
Wewe unavia kodi za Mtanganyika halafu unasema ubia sawa. Hawa watu waajabu sana.
Leo wanasema hawana uwezo na wakati wa kujadili muungano hali ya uchumi iangaliwe.
Ni hawa hawa walikomaa tume iwe na wajumbe sawa. By the way hawajui gharama za tume wala za bunge la katiba.Kelele zitawatokea puani this time
fungeni midomo na muwe na adabu. Shikeni adabu, muungano uchumi si mipasho na taarabu.
Leteni kitu mezani si kuvizia nafasi za urais wa zamu na uwaziri. Kupe wakubwa mninyi.
Mkome kusema mnanyonywa, nani anyoinye mnasikini wa mapato kama yenu.
Mkome kudai vyeo msivyojua gharama zake. Matabaki chini ya kivuli cha Tanganyika kwasababu hamna uwezo.period
GHIBUU takashi Jusa Jasusi JokaKuu Kakke Jasusi Nonda gombesugu Zinedine FJM
Kutoka katika link hiyo hiyo soma maneno haya
Kwani Warioba, Jenerali walisema nini?mwenyekiti wa hio kamati hebu na itafutwe hio cv yake ipimwe na kiwango cha elimu hasa kwenye uchumi. Kelele hizi zishakuwa nyingi na zishajibiwa na wengi tu, kuanzia general ulimwengu, warioba na wengi tu.
hawa wengine kujikomba tu kwa faida zao wenyewe, wanashindwa kulipa hata umeme kwa wahusika wakati Zanzibar hakuna asielipishwa umeme, unaishia kwenye mifuko yao ya kampeni za ccm. unategemea aseme nini?
Nchi ya watu milioni moja iungane na milioni arubaini halafu tuchangie sawa lakini wakati wa ruzuku kwa nini basi tusigawane sawa. formular za ccm hazina mashiko, kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu theory.. Ikiwa tutagawana mgao wa nusu kwa nusu kwa nini tushindwe kuchangia gharama sawa? na ikiwa hatuwezi kugawana ruzuku kwa nusu kwa nusu kwa sababu ya population kwa nini tuchangie nusu kwa nusu pia? Ati mwenyekiti wa kamati ya uchumi, elimu darasa la saba ulitegemea nini?
Ni kweli unachokisema lakini pia tuangalie pande zote kwa undani. Tanganyika hawajawahi kuzungumzia kuhusu muungano ingawa wao ndio wameubeba na mzigo wake.I am not a prophet of doom, but I have said before, this relationship is in the rocks and we will witness its end in few years!
Though it has persevered for 50 odd years, it was not built on firm socio economic and political foundation. Its survival depended on political will of its founders.
ila na sema, majuto ni mjukuu, waswahili walinena. Tukumbuke kila alichosema Mwalimu Nyerere huwa kina kuja tokea. Unfortunately watakaokuja kujuta ni generatiin ijayo na ambao itatulaani sisi kwa kutokuona matokeo ya maamuzi yetu AMA Yale ya jazba ( bara) au ya kitumwa ( visiwani) Ni mtazamo tu