Elections 2010 Zanzibar: CCM wagoma kusaini matokeo!

Jamani tunasikia CCM wamegoma kusign matokeo ya uchaguzi unguja,mliopo huko tunaomba mtuhabarishe zaidi
 
source TBC1

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Unguja ni kwamba matokeo katika majimbo yote yako tayari, lakini ZEC wamesita kutangaza hata jimbo moja maana kwa sasa CUF imepata kati ya majimbo manne ama matano Unguja na Urais wanasema Maalim Seif anaweza kuwa na ushindi wa 60%. Wanasema wakubwa wamejifungia kutaka kufanya vitu vyao.
 
Jamani tunasikia CCM wamegoma kusign matokeo ya uchaguzi unguja,mliopo huko tunaomba mtuhabarishe zaidi

Hakuna shida wasisain tume ilishasema wakala kukutaa kusain matokeo hakuta badilisha chochote. Nadhani walitegemea upinzani ndio watakataa zaidi ila naona inakula kwa safari hii.
 
Hata usiposaini...............matokeo yakishatangazwa na Tume ndiyo mwisho usiporidhika elekea mahakamani..hakuna njia nyingine................
 
Mimi niko zenj hapa,ccm wameanguka vibaya majimbo 10 yahapa unguja mjini,pia wameanguka bumbwini,nungwi,tumbatu,mpk sasa unguja majimbo 13 cuf imepeta napemba majimbo yote 18 cuf imeshinda,ila wanataka kubadili matokeo,ila Watu wanasema hawakubali kuibiwa kilasiku,SUBIRINI MUONE PEOPLES POWER Itakavofanya kazi zenj.
 
Kama mgombea urais wa ccm zanzibar anapiga kura dar es salaam mnadhani wazenji ni majuha????
SEIF rais na ccm ni makamu.

Dah jamaa yangu shain ni vice presidaa very professional
 
Tume ya uchaguzi hapa zenj hawana hata aibu,mpk jana saa4usiku screen kubwa ya UNDP iliyopo salama hall bwawan hotel Kura zilikua zinatangwa live bilachenga na cuf walikua wameshashinda majimbo 7 ya unguja,na urais cuf walikua wana 66% tume ikaamuru tv izimwe baadayakuona ccm wanaumbuka vibaya huku cabletv ikirusha live mjimzima nawatu wanashangilia,wakazima screen wakasema tume ndio itakayotangaza,wamejifungia ndani wamebadili matokeo wameiba wanatangaza eti cuf kapata majimbo 2, hata wizi haufanywi hivyo mpk jamaa wa UNDP wanasema huu ni usanii,ila data zote zamatokeo wanazo kua CUF IMESHINDA,SIJUI hatma ya zenj itakuaje.
 
Kama mgombea urais wa ccm zanzibar anapiga kura dar es salaam mnadhani wazenji ni majuha????
SEIF rais na ccm ni makamu.

Dah jamaa yangu shain ni vice presidaa very professional

JAMANI MUMKUMBUSHE dr shein asisahau kuondoka na ule mkasi wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom