Elections 2010 Zanzibar: CCM wagoma kusaini matokeo!

Best toa kwa ukamilifu hizinusu nusu zinatufanya tuwe na maswali mengi na si kila mtu anaangalia hiyo tv!
 
Kuna watu wana makusudi mbona unaleta habari nusu nusu to me habari kama iyo ni udaku.
Lete full details
 
ruvuma werawera chadema!morogoro wanatuangusha

Morogoro tatizo njaaa sana maeneo yale ya kihonda, dark city watu choka mbaya. So far Tanzania hii ndiyo nilitamani kuzaliwa zamani na sasa naona fahari kabisa kabisa kuzaliwa hapa....wera wera
 
Inaonyesha ni mkakati wameweka ,majimbo mengi kama si yote wamepoteza na kwa kweli wamekataa kuweka saini ,maana wamelazwa chali au tuseme kwa ufupi wamelazwa kifudifudi ,na ndio ukaona matokeo yamesimama na kituo wamekifunga (Kituo kilichokuwa kikirusha matangazo ya matokeo kutokea Bwawani Hotel) ,Na huko Pemba ni landa slide madongo kuporomoka au wapemba wanasema ni ushindi wa Zilzala(tetemeko la Ardhi) sio tsunami kwani tsunami hutokna na hilo tetemeko sasa safari hakuna tsunami ni tetemeko mojakwa moja.
 
Ah ina maana hawatangazi matokeo tena? Mkuu mbona hutupi updates?
 
Ah ina maana hawatangazi matokeo tena? Mkuu mbona hutupi updates?
Wamezima mawasiliano na vyanzo vya habari ,kuna wasiwasi huenda mambo si shwari tena ,kuna jamaa wa ZEC kapigwa na kupewa kisago cha mbwa koko ,unajua bado kuna watumiwaji na hao ndio wanaoharibu mambo ya kiuchaguzi kuanzia karatasi ,hakuna hata kitu kimoja kilichopungua ,hizo ni mbinu za wizi tu si Zanzibar si bara ,vitu na vifaa vyote vimetimia kabisa ,maana vimelipiwa na vinatoka huko vilikotoka kwa dhamana haiwezekani kutokee kasoro.
 
kwani tume ya uchaguzi si wanajua chama kikigoma kusaign inakuaje wamwulize salmin amour alikuaje rahisi kwa hiyo haisainii seif raisi zanzibar
 
Back
Top Bottom