zantel... zantel... zantell

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
jamani msaada wenu kitu cha muhimu, nimekuwa natumia modem ya zantel nikiwa morogoro muda wote, lakini toka nifike dar na maeneo mengine kila ni connect naletewa error 777, eti device is either not connected, nimewapigia zantel mara ooooh komputa yako imejaa, nimefuta vitu vingi bila mafanikio, nikaihamishia computer nyingine bado haiconnect, mara oooh badili chomeka port nyingine lkn hamna kitu, jamani niokoeni kijana mwenzenu ili nienjoy nami, je tatizo ni nn?
 
Kuna baadhi ya maeneo ya Jiji Modem za Zantel hazifanyi kazi. Ilishawahi kunitokea hali hiyo. Jaribu kuwauliza vizuri wakuelekeze maeneo ambayo utaweza kufurahia huduma zao.
 
kweli kabisa, jana nipo arusha ila jana nimemtuma jamaa aende nayo makao makuu ya zantel, kawambiwa eti yawezekana nilipo hamna hiyo huduma, sasa nitafanyaje? je na mtoni mtongani napo ilizingua, je hadi mtoni mtongani dar
 
unangoja nini sasa? hamia gari kubwa! hamia airtel! kwa sh.2500 unapata 400MB kwa mwezi mzima!
 
Kujaa kwa computer kuna mahusiano gani na connection? labda useme slowness in loading
 
jamani msaada wenu kitu cha muhimu, nimekuwa natumia modem ya zantel nikiwa morogoro muda wote, lakini toka nifike dar na maeneo mengine kila ni connect naletewa error 777, eti device is either not connected, nimewapigia zantel mara ooooh komputa yako imejaa, nimefuta vitu vingi bila mafanikio, nikaihamishia computer nyingine bado haiconnect, mara oooh badili chomeka port nyingine lkn hamna kitu, jamani niokoeni kijana mwenzenu ili nienjoy nami, je tatizo ni nn?

Achana na bata-vuzi, bajaji na migongo ya chura. Hamia basi kubwa!
 
yaani uache pango ukalipie chumba maeneo mengine sababu ya modem ya zantel, kaka fanya maamuzi magumu ktk hilo.
 
Watumiaji wa modemu za Zantel wa Kigoma ndiyo wameingizwa mjini toka siku nyingi! Tuliuziwa modemu hizo kama njugu kutokana na punguzo lakini kilichofuata ni kukosa huduma hiyo kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mwanzoni walidai kua kifaa kimepigwa na radi kwa hiyo huduma zitapatikana baada ya kifaa hicho kuwasili na kuwekwa. Siku zimepita, miezi na sasa ni miaka! Ningewashauri Zantel waje kuzikusanya hizo modemu zao huku Kigoma na kuzipeleka sehemu ambazo wanazijali.
 
Mkuu ni aina gani ya modem ya zantel unayotumia,mana kama ni zile za zamani zenye namba za 25xxxxx,zinafanya kazi kwa mikoa husika tu ila 0775xxxxxx ambazo ndo za sasa huwa hazina tatizo,ukiona vp waibukie ofisini,
 
jamani msaada wenu kitu cha muhimu, nimekuwa natumia modem ya zantel nikiwa morogoro muda wote, lakini toka nifike dar na maeneo mengine kila ni connect naletewa error 777, eti device is either not connected, nimewapigia zantel mara ooooh komputa yako imejaa, nimefuta vitu vingi bila mafanikio, nikaihamishia computer nyingine bado haiconnect, mara oooh badili chomeka port nyingine lkn hamna kitu, jamani niokoeni kijana mwenzenu ili nienjoy nami, je tatizo ni nn?

Acha masihara wewe! Yaani bado uko Zantel? Mungu apishilie mbali
 
kweli kabisa, jana nipo arusha ila jana nimemtuma jamaa aende nayo makao makuu ya zantel, kawambiwa eti yawezekana nilipo hamna hiyo huduma, sasa nitafanyaje? je na mtoni mtongani napo ilizingua, je hadi mtoni mtongani dar
hapo itakuwa tatizo lingine,mi mbona nipo mtongani naitumia vizuri tu?
 
kama ujaweka salio kwa mda mrefu yani ulikua labda unasalio so ukawa unajiunga na bundle bila kurecharge mara kwa mara hua inatokea hivyo so ongeza hata jero itafanya kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom