Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 455
Ijapokua zimeshatumwa sana, post kama hii, bado wana jamii wanapata ugumu wa kutumia modem zao. nasema hivyo kwa sababu nimekuwa ninapata PM nyingi zinohusu ku unlock modem hizo. njia ya bure ni kui unlock temporary which means kila utapoichomeka kwenye komputa yako. inakubidi urudie process hizi.
utahitaji file moja tu dogo sana. li download hapa Huawei Modem Unlocker 5.8.1.rar
(kama unatumia windows xp ya zamani basi inakubidi uinstall microsoft dotnet framework 3.5 au 4 la sivyo program nyingi kwenye computer yako hazitofanya kazi. ikiwemo hii ya ku unlock)
lets go the method now.
1. chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na ile laini (simcard) unayotaka kuitumia.
2. kama itafunguka ile program yake automatically basi ifunge kwanza. unaweza kuepusha kufunga automatically kwa kufanya yafuatayo.
Fungua TIgo au Airtel software (dashboard)---> Tools---> options---> General hapo upande wa kulia utaona kuna tick "Launch when device is available". zitoke tick zote hapo kwa ku click. hapo itakuwa haifunguki automatic tena.
3. sasa hapo fungua ile program uliyoi download hapo juu iitwayo HUAWEI MODEM UNLOCKER BY BOJS.
4. Chakufanya ni kuclick UNLOCK TU. basi. isubirie ifanye yeye kila kitu. itakuwambia "ONLY TEMPORARY UNLOCK WAS DONE" na kama modem yako ni zile tigo za zamani itakuambia "modem permanently unlocked"
5. ifunge iyo promgram HUAWEI MODEM UNLOCKER. fungua program ya tigo au airtel. na connect kama unavyofanya siku zote.
NB: ikiwa program ya modem ya tigo iko wazi basi hii program ya ku unlock inashindwa kufanya kazi. hivyo inakubidi uifunge kwanza.
ILE e153 express unlocker si kila mara inafanya kazi. ila hii uliyodownload huwa haishindiki kirahisi. ikisema unlock basi ujue unlocked kweli.
I hope I helped :bange::bange: