Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
Hapo nilipo RED jumlisha na Tsh 15000 ambayo nilazima uwe umetumia kwa mwezi. jumla utapata Tsh 50000 for 5GB kwa month.Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
Wadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
Kitu 2500 kwa 400mb.Huko kwenu kwa wenye pesa tu.Hamia airtel
me nahamia zangu Safari com
bado hawajanishawishi-waje kivingine tenaWadau tangu juzi Zantel wameongeza vifurushi vyao vya intanet as follows 2 GB sasa ni sh 15,000 kwa mwezi, 3 days UNLIMITED kwa SIKU 3 ni Tsh 5000, NA ile bundle ya Highlife imekuwa ni 5GB kwa 35,000 Tsh kwa Mwezi, pia kuna 1GB kwa Tsh 7000 kwa WIKI, Pia kuna bundle nyingine nyongi zinazowafanya wao kuwa the most affordable in the market as we know Airtel wameshoot bei zao.p
Kitu 2500 kwa 400mb.Huko kwenu kwa wenye pesa tu.Hamia airtel
Tatizo hawa jamaa hawafiki wilaya zote..ukiennda mkoa modem zao hazifanyi kazi
mimi mbona nikituma INTRENET kwenda 15444 Meseji inafeli jamaaani msaada plz