Zantel : Udini

Mdini ni wewe unayeangalia mambo kwa jicho la udini.

asnte mana umenisaidia kumpa jibu nililokua nalo kichwani...ukishaangalia jambo kwa jicho la udini maana ake wewe element hzo unazo na ni tabia yako kujudge judge mambo kidini dini.

mwalim alipolala atakua anaumia sana kwa haya yanayoendelea kwa taifa aliloliacha
 
kumbe kuna wabongo wanatumia zantel??? me nkajua ni wapemba tu.
 

akili yako inakuambia hapo ndio umewakomoa zantel,halafu mnadai nyie ndio mmesoma ajabu sana hii dunia
 
Mkuu Zantel Tayari wameshaweka. Naona wewe umepost saa Kumi na Mbili Asubuhi.

Angalau ungesubiri Sikukuu iishe ndo uje upost.

 

Attachments

  • Zantel.jpg
    70.1 KB · Views: 369
Poa mkuu.
 
K@firi ni mtu mpumbavu sana haijalishi kiwango chake cha elimu alichonacho.
 
kwan MWAKA mpya ckukuu ya kikristo? ucje kufa kwa prexha we fany ibada mambo mengne yackuumze kchwa dini umezkuta!
 

Xmas na pasaka nazo sikukuu ???we mwehu nini?
 
Unashindwa kushangaa serikali iliyokuwa ikitumia mapesa mengi kununua makadi na mamiti ya xmas ama kweli upunguani upo namna nyingi
 
Ndo maana haiendelei wanatoa offer za kila aina lakn bado watu hawaipend wananuks hao
 
HATIMAYE.......

Baadhi ya mambo yasipokemewa hayafanyiki......
 
Tunamshukuru Rais wetu mtukufu kukataza kadi za xmas maofisi ya serikali, wewe unadhangaa zantel, lakini ulikuwa hushangai serikalini, hushangai CRDB Bank, ila zantel ungefanya utafiti kwanza halafu ukaleta upuuzi wako! Udini haukubaliki !

ndo maana tunasema hata msome akili zinakuwa pua na mdomo,hebu ona sasa umeshindwa kujua kuwa mwandishi alisemea sms za sikukuu hapo crdb imekujaje,crdb ina wateja aina zote na hutoa huduma equally bila kujali dini ya mtu ila zantel mhhh
 
Ndy maana hakuna soko bara wadini

Ndio maana hawana wateja

Ndio maana hawana wateja mafala wale

✅Kama inaweza ku exist katika ushindani huu wa simu kwa Miaka hii yote basi itakuwa inapata Faida,Kama wangekuwa hawapati Faida wasingeweza kuhimili soko unless wawe wanapewa ruzuku na serikali maana ni serikali ina share.

✅Nimeangalia website ya TCRA,zantel ina customers 2m,ya nne katika market share ikifuatiwa na ttcl yenye customers 200k then BOL smart 100k customer base.Kwa customers 2m hauwezi ukasema ni wachache.

✅Nimejaribu kupitia website Yao nimeona ina services nyingi inatoa ambazo operator wengine hawana kabisa inawezekana Hizo ndizo zinawapatia pesa kuliko Hizo Line ambazo wateja wanaweka jero wiki mpaka wiki...Nimeona wana Cable ya Fiber na pia wana Gateway ya International calls,kwa jinsi nilivyofatilia ukiweza kumiliki hivyo vitu hata usipokuwa na mteja wa jero jero hata mmoja ita run kampuni vizuri...Gateway zipo mbili tu tz ya pili ipo ttcl.

✅Kwa mfano Mimi sijawahi kunywa smaniorf tangia nizaliwe,haimaanishi Hiyo kampuni haipati pesa,Kama nisipokunywa Mimi wengine watakunywa,wapi sasatel,wapi tritel? Kama usipotumia wewe,wengine watatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…