zantel nafikiri iliundwa kwaajili ya zanzibar (zanzibar tele....)hivyo usitegemee kitu kingine. kitu cha kufurah ni kwamba, huku bara hawajaenea sana, hawana wateja sana, wala z-pesa yao haina wateja, na ni watu wachache wanaitumia. kwa bara ukileta udini tu, wateja wako watakuwa wa dini yako tu, sisi wengine hatuigusi. nilkuwa na moderm yao, line yako lakini nilishatupa kitambo mno. nimehangaika na voda kidogo ina faida kwenye mpesa, tigo pia, nafurahi kwenye halotel, internet wako vizuri. so zantel hata sijui kama bado ina exist kwasasa, na hainihusu.