zantel ilianzai zanzibar na ndiko wateja wengi walipo naweza kisia like 80% ni zantel.
etisalat walisha kuwa wameinuna 70% ya zantel
pia they have some contract with fibre optic hapa Tz ila si ikumbuki vizuri ikoje hiyo contract nadhani ndio inawaingizia pesa