Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
hivi hawa jamaa wanatoa wapi hela wakati ukiangalia hata wateja hawapo wengi kwa kwel wananishangaza

jamani mi nataka kuhamia huko tena mnanieleza huko nako chenga.Vip internet yao.
wako fresh tu...karibu zantel
wenzao wana motto nzur kama kazi ni kwako na express yourself wao eti part of etisatalat ndo nn upuzi huo
Je ni kweli kuna kifurushi cha 600 MB kwa Tsh. 4000/- kwa mwezi?. Napenda kupata uhakika ili nihamie haraka.
Hahahaaaaaa umenichekeshaje sasa!wenzao wana motto nzur kama kazi ni kwako na express yourself wao eti part of etisatalat ndo nn upuzi huo
wenzao wana motto nzur kama kazi ni kwako na express yourself wao eti part of etisatalat ndo nn upuzi huo
Khah! Unasema upuuzi? Watakucheka kweli wakikusikia na kukudharau, kumbe hujui manake! Zantel hawana shida ya kutafuta motto za kujisifia sifa za uongo! Kumbe ndio maana wakakudanga express yourself kisha wanakuibiaga vihela vyako mchanaaa, na ukipiga customer care kwanza wanakusikilizisha vinanda kwa saa nzimaaaa!!
Part of etisalat, unatakiwa ujue faida zake. Hawajamaa wana Satellite yao wenyeo for communications, na kama hujui Zantel ndio mtandao cheap kuliko yote na ukija kwa upande wa international calls ndo mamaaaaa rahisi asa. Hii yote ni kwa sababu wanatumia Satellite yao wenyewe, na hiyo +255 saivi wanayo wao, kwaiyo tigo, voda, airtel, sasatel, wote wanalipoa iyo huduma kwa zantel! That is the meaning of part of etisalat! Halafu ingia google utaona what is etisalat!
hahahaha naona unaleta mambo ya saluniEmbu mpashe huyo!