pale kastamakea ya zantel we upo dirisha namba ngapi?
Wangu nimeongea ukweli! Huamini we jaribu kisha njoo uwape feedback!
pale kastamakea ya zantel we upo dirisha namba ngapi?
ni kweli hii motto mi huwa inanichefua. Yawezekana huko etisalat ni uarabuni
ni kwel mkuu. Mi ni member wa icho kifurush