THREAD YENYEWE HIYO (By Munjy1) MAUJANJA zantel internet bureeeee
Inaonekana kuwa watu wametumia internet za airtel na tigo sasa zimeblockiwa ila haya maujanja naona bado yapo hewani kwa zantel, well this
is a new tunnel iko poa sana na limitation zake ni only utumia
100 mb per day lakni haibani speed.. na ITS BLAIZING HIGH WITH
SPEED @ 300 KBPS + in IDM and 3 Mbps kwenye dashboard... for faster speed its better:
Utumia hizi line za Epic nation ama za kawaida za zantel na kutumia 3G yao bila ya tatizo lolote ila lazima uwe na modem
ambayo inakubali kuingia sim card yeyote, hii hack ata zile modem za CDMA inafanya kazi pia but hautapata speed kama za epic
nation na inasumbua kwa kujidisconnect kila dakika 5.. na uzuri ni kwamba ukinunua hizi za epic nation inakubali kutumia net
bila kusajli
OK kwanza nenda hapa and sign up:
https://www.pdproxy.com/signup.htm
ukishasign up go to your email na confirm then your account will be activated then download hii tool:
http://downloads.pdproxy.com/PD-Proxy_2.1.7b.zip
Extract it na ifungue kama virtual port driver haziko katika your pc then itainstall then ikifunguka:
then click Tab ya juu ya 3 ambayo ni settings.. then click
Click here to show advanced Settings...
Then click Pronto Options na kwenye UDP Port Server weka port : 53
Then click BACK click tab ya kwanza and katika server and protocol select:
DEMO server (US)
Chini katika account login weka username na password yako
Then click CONNECT.. wait mpaka iseme successfully connected.. then fungua any browser and browse FREE KABISA mpaka ifike
100 mb then u wait till the next day and connect tena
Kama ikiwa inakataa hapo fungua pd proxy halafu fungua mobile partner ama dashboard unayotumia kwa modem yako, click
connect katika mobile partner suburi ikwambia authenticated, minimize mobile partner, halafu click connect katika pdproxy wait.
HAYA SASA NIPE ACCOUNT YANGU PREMIUM!!!