Zantel Free PDproxy Premium Account for Free

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,197
1,459
Kwa ambaye atawahi kujibu hii post ndiye atakaye pata hiyo account. Ina siku 21.
Kwa ambaye atapata hiyo account atoe feedback.
Goodluck
 
Tatizo la net ya bure ya Zantel inakata kata baada ya dk chache. Hamna means zozote za kuifanya isikatike?
 
Tatizo la net ya bure ya Zantel inakata kata baada ya dk chache. Hamna means zozote za kuifanya isikatike?

Unatakiwa utumie Line ya Epic Nation na sio zile modems za CDMA yani ambazo hazitumii line. Hiyo line ya Epic utaweza tumia katika modem yoyote ambayo iko unlocked eitha ya Tigo,Voda au Airtel. Epic line haikati mpaka uchoke ww.
 
Unatakiwa utumie Line ya Epic Nation na sio zile modems za CDMA yani ambazo hazitumii line. Hiyo line ya Epic utaweza tumia katika modem yoyote ambayo iko unlocked eitha ya Tigo,Voda au Airtel. Epic line haikati mpaka uchoke ww.
Owk...nimekuelewa mkuu
 
Mpaka sasa hajapatikana mtu wa kumpa hiyo account wote wamekua wakitaka TUTORIAL
 
ah a dah mdau ilibidi useme vigezo na masharti kuzingatiwa..hukusema kama hatuhitaji kuomba ushauri....
 
jaman mm speed ndio tatizo nikiwa natumia mode iliyo chakachuliwa japo natumia hzo line epic nation na nina premium account...msada plzzz
 
mwana iyo account imeipata wapi??? kama kuna site zinagawa izo premium account please tushare maujanja hayo.. au ulinunua mwenyewe?
 
acha mchezo wewe!
wadau kama mnaweza wasiliana na munj yeye atakupatia kwa sh 10,000 monthly,mimi alinipatia siku 10 zilizopita
au unaweza kupata ofa ya miezi 3 iwapo utaweza kuweka tangazo lao kwenye blog,website,forum yako

achana na huyu nafikiri anafanya utani ,wakati watu wako serr na life
 
THREAD YENYEWE HIYO (By Munjy1) MAUJANJA zantel internet bureeeee
Inaonekana kuwa watu wametumia internet za airtel na tigo sasa zimeblockiwa ila haya maujanja naona bado yapo hewani kwa zantel, well this
is a new tunnel iko poa sana na limitation zake ni only utumia
100 mb per day lakni haibani speed.. na ITS BLAIZING HIGH WITH
SPEED @ 300 KBPS + in IDM and 3 Mbps kwenye dashboard... for faster speed its better:
Utumia hizi line za Epic nation ama za kawaida za zantel na kutumia 3G yao bila ya tatizo lolote ila lazima uwe na modem
ambayo inakubali kuingia sim card yeyote, hii hack ata zile modem za CDMA inafanya kazi pia but hautapata speed kama za epic
nation na inasumbua kwa kujidisconnect kila dakika 5.. na uzuri ni kwamba ukinunua hizi za epic nation inakubali kutumia net
bila kusajli
OK kwanza nenda hapa and sign up:
https://www.pdproxy.com/signup.htm
ukishasign up go to your email na confirm then your account will be activated then download hii tool:
http://downloads.pdproxy.com/PD-Proxy_2.1.7b.zip
Extract it na ifungue kama virtual port driver haziko katika your pc then itainstall then ikifunguka:
then click Tab ya juu ya 3 ambayo ni settings.. then click
Click here to show advanced Settings...
Then click Pronto Options na kwenye UDP Port Server weka port : 53
Then click BACK click tab ya kwanza and katika server and protocol select:
DEMO server (US)
Chini katika account login weka username na password yako
Then click CONNECT.. wait mpaka iseme successfully connected.. then fungua any browser and browse FREE KABISA mpaka ifike
100 mb then u wait till the next day and connect tena
Kama ikiwa inakataa hapo fungua pd proxy halafu fungua mobile partner ama dashboard unayotumia kwa modem yako, click
connect katika mobile partner suburi ikwambia authenticated, minimize mobile partner, halafu click connect katika pdproxy wait.

HAYA SASA NIPE ACCOUNT YANGU PREMIUM!!!

 
jaman mm speed ndio tatizo nikiwa natumia mode iliyo chakachuliwa japo natumia hzo line epic nation na nina premium account...msada plzzz

ukiona iko slow ujue imejiweka ktk edge badilisha ktk dashboad yako ktk setting weka 3g speed ita change
 
wana jf je kwa jirani zetu wa kenya watatumia line gani?

wanatikiwa wawe na vitu viwili kati ya hivi kuenjoy net bure
1) wawe na free site kama sisi tulivo na 0.facebook.com
2) wawe na open port ya udp, je watajuaje kama kuna open port ya udp? Download pd proxy automatic inascan yenyewe.

Hapo kwenye open port haiwez fanya kazi mpaka mtandao uwe unakubali conect hata kama una sh 0. Kama kwa tz zantel na vodacom
 
Back
Top Bottom