Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

Hizi hesabu hazifanyi kazi nje ya ccm, ni hesabu ndani ya ccm. Nje kuna CHADEMA, ligi ipo palepale, kumnadi mgombea wao mpya itakuwa shughuli pevu hata kama ni kijana gen z. mifumo ya ccm wananchi hawaitaki, wanataka mabadiliko sio mtu mpya
 
Kwa Mwigulu kupangua hizi hesabu ndani ya chama chake ni shughuli pevu, kawahiwa mapema, hata akichukua fomu hatapitishwa labda system imbebe. Hizo hesabu uwezokano wa kuzipangua upo kama mizizi yake itang'olewa mapema
 
View attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.

Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.

Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.

Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.

Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.

Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Sema ni mawazo, za ndani wapi
 
Mwigulu kumlinganisha na Magufuli ni dhambi kubwa sana.
Mwigulu na JPM wapi na wapi?
1. Mwigulu hana mvuto kwa watu, lakini JPM alikuwa na mvuto usio kifani kwa watu. Alikuwa anakubalika na Watanzania wengi zaidi, siyo huyu.
 
View attachment 3659469Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.

Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni sehemu yake.

Katika mchakato wa kumpata mrithi wake, magenge na makundi mbalimbali yalionya kuwa Mwigulu asipandishwe, wala asifikiriwe kwenye ndoto yake ya 2030, kwa sababu kumpeleka juu huyu ni sawa na kumrudisha Dkt. John Pombe Magufuli.

Kimahesabu, kuletwa kwa Makamu kijana kunaweza kuwa sehemu ya mkakati huo. Za chini chini zinasema kwamba wapo wengine wawili wanaoandaliwa.

Kimahesabu, hii ni mikakati ya kumzuia Dkt. Magufuli huyu mpya.

Watanzania, kama tunataka kumpata Magufuli tena, basi tuziangalie hesabu hizi kwa umakini.
Madelu kakutuma sio?
 
Back
Top Bottom