Zana za kivita za MALAWI

DSC_0296.JPG

na hawa ni jwtz wakicheza kiduku uwanja wa taifa.......

Majeshi ya nchi zingine sasa yako na yanafikiri katika unmanned missions,hapa jeshi bado lina mawazo ya ukamando kipensi!
 
Kabla vita havijaanza mi nashauri maraisi wetu wakapigane ngumi, atakaye pigwa basi ihesabike nchi yake imeshindwa.
Vita ni gharama kubwa sana na havina macho.

Yule wa nitawaletea mamloo... mamlooo..,,mamlo... mara chali pale jangwani hawezi ngumi, kwisha habari yake!!
 
dsc_0296.jpg

na hawa ni jwtz wakicheza kiduku uwanja wa taifa.......

Majuzi nilikutana na gen mwamunyange aisee yaani ukitaka kumfanyia lolote its very easy......

ungejaribu kumfanyia lolote! Alafu ungeona awakina rama wa ikulu wanapotokea, hapo hapo ungeshafikishwa mabwepande! Never play with these people kaka! Mbona ukiiangalia nchi yetu kama vile ni rahisi kuguswa na magaidi lakini ndo nchi ya africa miongoni mwa zile zinazoongoza kwa kupamana na ugaidi!
 
lakini ndo nchi ya Africa miongoni mwa zile zinazoongoza kwa kupambana na ugaidi!

Kupambana na ugaidi?! Ugaidi upi? Wa madai ya wafanyakazi? 'uchochezi' wa vyama vya upinzani na magazeti kama Mwanahalisi?
 
Hata kama hawa wanajeshi ni wa Malawi, mbinu za kiinteligensia hutumiwa sana na hawa wadau ili muone kuwa ni wachovu, hao huenda ni mgambo tu. Tusishabikie vita ndugu zanguni, madhara yake ni zaidi ya mimi na wewe tujuavyo. Tuombe sana Mungu diplomasia itumike kutatua tatizo.
 
Ni kweli hizi ni picha za askari wa tanzania walipokuwa commoro kumtoa mohammed bakari, wacheni longolongo hili swala bado lipo katika diplomasia tuache kurushana roho
 
Hawa ni askari wa Malawi wakifanya mazoezi kwenye mwambao wa ziwa Nyasa.
Hizi bunduki zao mi naziona kama zile amabazo polisi wetu wanalindia mabenki.
527093_432953680081367_2086151748_n.jpg
Acha uongo hii picha ni yazamani ni askari wa Tanzania walipokuwa wanaingia Comoro!!Mkuu nawewe ni mpotoshaji pia????Dah kweli..naanza kutowaamini watu niliokuwa nawaamini!!
 
DSC_0296.JPG

na hawa ni jwtz wakicheza kiduku uwanja wa taifa.......

majuzi nilikutana na gen mwamunyange aisee yaani ukitaka kumfanyia lolote its very easy......

Acha dharau mkuu,kitu kama hujui afadhali unyamaze.
 
ungejaribu kumfanyia lolote! Alafu ungeona awakina rama wa ikulu wanapotokea, hapo hapo ungeshafikishwa mabwepande! Never play with these people kaka! Mbona ukiiangalia nchi yetu kama vile ni rahisi kuguswa na magaidi lakini ndo nchi ya africa miongoni mwa zile zinazoongoza kwa kupamana na ugaidi!
siwezi kujua atafanyiowa vipi lajkini nakuambia ni veryy eaaaaasy sana arifu......nakutana nae sana huyu jamaa tena kweupeee peee na bodgadi wake eaaasy eaasy.....subiri yakitokea iunhdwe tume......
 
Acha uongo hii picha ni yazamani ni askari wa Tanzania walipokuwa wanaingia Comoro!!Mkuu nawewe ni mpotoshaji pia????Dah kweli..naanza kutowaamini watu niliokuwa nawaamini!!

huyu jamaa ni zaidi ya muongo
 
DSC_0296.JPG

na hawa ni jwtz wakicheza kiduku uwanja wa taifa.......

majuzi nilikutana na gen mwamunyange aisee yaani ukitaka kumfanyia lolote its very easy......

kama kungekuwa na mlezi wako sidhani kama ungeandika haya maneno. Heshimu kazi za watu.
 
Basi tuwekee picha za askari wa Tanzania wenye viatu sori upande na viraka matakoni. Maandalizi nayo muhimu tuyaone. Nadhani wakiingia vitani Malawi kazi yao ya kwanza itakuwa kuiba mali za raia maana kama wanashiriki ujambazi huko itakuwaje? Pia wanajeshi wetu wanafaa sana kuwa makada wa CCM. Hivyo ukiwatuma vitani wengi watauawa kama panzi. Tofautisha jeshi la wakati wa Mwalimu Nyerere na jeshi la sasa la kishikaji. Mfano mdogo muangalie mkuu wa majeshi yenu alivyo laini. Hana sura ya Kikurya ya kutisha wala mwili mkubwa wa kutisha wala sifa zaidi ya kuibuka tu. Sidhani kama Mwamunyange na Shimbo wanafanya mazoezi zaidi ya kupiga siasa. Nakumbuka walitangaza vita wakati wa kampeni za uchaguzi kuwatisha wapiga kura. Sasa Malawi imewasha moto nenda tuwaone ujanja au ujuha wenu. Wanajua kutumiwa kuiba kura na kuwatishia wazanzibari wanapoamua kulianzisha. Vita si mchezo msifanye mzaha.
k15.jpg
 
Nakushauri siku moja uchokoze "mcheza kiduku"mmoja ili akuchezee vizuri.Kila la kheri
Uchokozi sio jadi yangu mie ni kijana mwema mwenye adaby na staha kwa watu wote......kama kuheshimu kazi za watu ni mpaka umchokoze aisee arifu sipo huko....

hawa ndio wajeda wetu hawa......ati wanacheza karate...karate inachezwa namna hii kama wanapaisha tiara...aiseee.......afu nyie mtapiganaje wakati mna njaa?? serikali si aina hela bana....
 
Back
Top Bottom