Zambia's M.Mobile to export abroad
By Michael Malakata , Computerworld Zambia
M.Mobile, Zambia's newly commissioned mobile phone manufacturing plant, has sealed a deal to supply handsets to Zimbabwe, while east African and West African countries including Tanzania, Burundi, Rwanda and Kenya are also expected to start importing the handsets.
The Zambian plant became operational last month with an initial investment of US$3 million. Company Chairman Mohammed Seedat said the company has struck a deal to supply more than 10,000 handsets to Zimbabwe alone, while other east and southern African countries are also soon to be supplied with the phones. The Zambian plant is now assembling about 1,000 handsets per day.
The Africa region has two mobile-phone assembling plants providing locally manufactured handsets to lessen the dependence on foreign-made devices that have flooded the region's market. A-Link Technologies of Rwanda has been producing handsets in Rwanda.
The M-Tech line of handsets made in Zambia have, among other features, FM radios, phone books, color screens, alarms and calendars. Handsets are being sold for between US$40 and $45.
"So many countries in the region have shown interest in purchasing our handsets," Seedat said.
http://www.computerworld.co.ke/articles/2009/05/01/zambias-mmobile-export-abroad
Yaani kwa kamtaji kwa milioni 3 wameanza kutengeneza handsets!! yaani hadi Rwanda jamani? Hivi zamani si tulikuwaga na ile kampuni ya betri ya national? sijui bado ipo?
Yaani kwa kamtaji kwa milioni 3 wameanza kutengeneza handsets!! yaani hadi Rwanda jamani? Hivi zamani si tulikuwaga na ile kampuni ya betri ya national? sijui bado ipo?
wanajenga nyumba ya gavana.Yani inayouma ni kwamba imewacost jamaa 3million USD kuset up kiwanda..sasa jiulize watanzania wangapi wana 3$ Million or more na wanafanya nini zaidi ya kuomba tender serikalini??... :-(
Yaani kwa kamtaji kwa milioni 3 wameanza kutengeneza handsets!! yaani hadi Rwanda jamani? Hivi zamani si tulikuwaga na ile kampuni ya betri ya national? sijui bado ipo?
-Zambia- ulimi hauna mlupa
-----------------------------
Kwenye Tanzania yetu ni bora tuhakikishe magavana wetu wanaishi kwenye nyumba za mabillion ili waonekane ni watu wenye status (machoni pa watz maana kama wanadhania wadhungu wanaona hivyo wanajidanganya - wanachoona katika hilo ni 'miafrika ndivyo ilivyo'). Majoho ya spika ni sharti yaagizwe toka nje ili kuonekana ni watu wa kisasa. Rais ana msululu wa ma-bmw kwenye misafara ili aonekane wa kisasa... samani kwenye ofisi za serikali zinaagizwa toka nje ili kuonekana ni matajiri... n.k.
Tulikuwa na kiwanda cha UFI, Tanzania Film, Battery, Mwatex, Sunguratex, Karakana ya Reli, Nyumbu, na vinginevyo kibao - karibia vyote sasa viko juu ya mawe au kutoweka kabisa. Halafu unaona kiongozi huyoo nje ya nchi kwenda kuombeleza hela za vyandarua!!