Zambian President, Michael Sata dies in London

Mkuu hapo umesema kweli lakini kwa 2015 tuiache kwanza,
kuna uwezekano nasi tukampata rais wa hivyo.
 
Unajua ni gharama kiasi gani ya kuwatunza marais walio maliza muda wao hapa nchini? Ben Mkapa, Mwinyi, anakuja sasa Prof Jakaya! Fikiri na acha unafiki wa kijinga! ongea vitu vyenye maana na kama hauna cha kuongea basi kaa kimya!
 
Ugonjwa wa uzee ndio ugonjwa gani huo kitaalam? Kama uzee ni
ugonjwa mbona Mugabe yuko madarakani mpaka sasa hajafa tena ni mzee kuliko satta au kingunge wasira jaji lubuva ambao nao ni wazee. Hebu tufafanulie vizuri uzee na kifo.
Kusalimika ni moja ya kumi.
 
Ugonjwa wa uzee ndio ugonjwa gani huo kitaalam? Kama uzee ni
ugonjwa mbona Mugabe yuko madarakani mpaka sasa hajafa tena ni mzee kuliko satta au kingunge wasira jaji lubuva ambao nao ni wazee. Hebu tufafanulie vizuri uzee na kifo.

mkuu MT KILIMANJARO, ni dhahiri kabisa kilchomuua Sata ni maradhi ya uzee.
 
Last edited by a moderator:
Unajua ni gharama kiasi gani ya kuwatunza marais walio maliza muda wao hapa nchini? Ben Mkapa, Mwinyi, anakuja sasa Prof Jakaya! Fikiri na acha unafiki wa kijinga! ongea vitu vyenye maana na kama hauna cha kuongea basi kaa kimya!
Gharama ya uchaguzi ni kubwa kuliko kumuhudumia rais mstaafu

Wana Bodi wa Jf tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wazambia michael sata. Ambae ametutoka mapema london alikofia kwa maradhi na uzee.

Moderator tafadhali usiunganishe huu uzi kama upo mwingne huku ndani.

Kifo cha sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.

Rais sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.
Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'an'gania kwenda ikulu.
Ilihali afya zao sio njema. Leo hii wananchi wa zambia wataingia Gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.

Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoli-cost Taifa.
Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.

Rest In Peace Michael sata!

mipango ya mungu hakuna ajuae saa,siku,tarehe hata umri je ikiwa kjana akawa raisi halafu akalipuliwa au kifo kama cha kabila wa congo itakuwaje
 
KIFO NI KWA WOTE,UWE NA AFYA UTAKUFA UACHE WAGONJWA UWE KIJANA UTAKUFA UACHE WAZEE,
PROBABILITY
AND ACTURIAL SCIENCE APPLY
:embarrassed:
 
Wana Bodi wa JF, tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wa Zambia Michael Sata. Ambae ametutoka mapema London alikofia kwa maradhi na uzee.

Kifo cha Sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.

Rais Sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'ang'ania kwenda ikulu Ilihali afya zao sio njema.

Leo hii wananchi wa Zambia wataingia gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.

Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoligharimu Taifa.

Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.

Rest In Peace Michael Sata!
.
Kifo kunampata yeyote. Mbona raisi aliyemtangulia Satta Levy Mwanawasa alikufa akiwa na miaka 61. Na mpaka sasa rais wa kwanza wa nchi hiyo Kaunda 90+ yupo hai.
Kikwete ameingia ikulu na kifafa cha kuanguka majukwaani na sehemu nyingine za wazi na siri lakini mpaka leo anadunda.
Hata hivyo takwimu za fifo kea zama zetu vijana ndio wanaoongoza kwa vifo
Labda ungesema kijana yeyote anakimbilia ikilu ni lazima apimwe ngoma kwanza hapo ningekuelewa.
R.I.P Michael Satta (KING KOBRA).
.
 
Wana Bodi wa JF, tuache Keypard za cm/computer zetu dk1 Tumuombee . Rais wa Zambia Michael Sata. Ambae ametutoka mapema London alikofia kwa maradhi na uzee.

Kifo cha Sata ni funzo kwetu watanzania hasa hasa kuelekea 2015.

Rais Sata amefariki kwa kile kinachoelezwa ni ugonjwa na uzee.Hapa kwetu Tz wako wanasiasa wagonjwa na wazee wanang'ang'ania kwenda ikulu Ilihali afya zao sio njema.

Leo hii wananchi wa Zambia wataingia gharama kubwa kuitisha uchaguzi na taifa kama taifa lazima litaingia Gharama ya Maziko ya kiongozi huyo.

Hapa tunaona ni jinsi gani kupeleka viongozi wagönjwa Ikulu inavyoligharimu Taifa.

Watanzania tuwe makini tusije tukaingia hasara kama hiyo.

Rest In Peace Michael Sata!

Acha tabia ya kibaguzi, nani kakwaambia mzee hana haki ya kuchaguliwa, mbona Kanumba alikufa na alikuwa kijana, usimpangie mungu achukuaji roho za watu wake
 
Kama mvi ni ishara ya uzee basi,katiba pendekezwa itambue hili wazi ili kuepusha foleni kwa wenzangu na mimi waliozaliwa na nywele za kiscotch ...msiniulize maswali!
 
Mzungu kuongoza Zambia . Ingekua Mwarabu wapenda michubuko ya kiarabu bongo basi povu lingwatoka.
Au hata huyu mzungu basi mibaguzi hii ya kuvaa wigi ungeona wanavo toa upepo
Guy Scort Zambia VP

Teh! Teh! Teh! Umenichekesha mkuu!.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Taarifa zilizotufikia punde zinasema Raisi wa Zambia Michael Sata amefariki dunia jijini London Uingereza.

Familia ya Bwana Sata wameiambia BBC kuwa Rais wa Zambia, Michael Sata, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77 katika hospitali ya London alikokuwa akitibiwa ugonjwa ambao haujatajwa.
Kifo chake kimetokea siku chache baada ya Zambia kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo.
Mwanasiasa huyo mkongwe aliingia madarakani mwezi Septemba 2011 baada ya kuongoza chama chake cha Patriotic Front, na kumshinda Rupiah Banda, ambaye alikuwa rais wakati huo na chama chake cha Movement for Multi-Party Democracy, kikiwa madarakani kwa miaka ishirini.
Michael Chilufya Sata alizaliwa mwaka 1937 katika mji wa Mpika, eneo ambalo lilikuwa wakati huo ni Northern Rhodesia. Muumini wa dini ya Kikristo ya madhehebu ya Katoliki, alifanya kazi kama afisa polisi, mfanyakazi wa reli na mwanachama wa chama cha wafanyakazi wakati wa utawala wa kikoloni. Baada ya Zambia kupata uhuru wake, pia aliishi kipindi fulani mjini London, akiwa mfanyakazi wa reli, na kurejea Zambia, akiwa na kampuni ya teksi.
Akiwa mwenye sauti ya mkwaruzo yakiwa ni matokeo ya kuvuta sigara kwa muda mrefu, Bwana Sata aliibuka katika siasa na kupata umaarufu katika miaka ya 1980.
Haraka akapata sifa ya kuwa gavana mwenye kuchapa kazi kwa bidii, wakati akiongoza jimbo la Lusaka na mtu wa utekelezaji kwa vitendo.
Lakini pia alijulikana kama mtu wa kutoa amri, mtu asiyeendekeza urafiki na mkali- na wapinzani wake walisema jina alilopewa la bandia la "King Cobra" alikuwa anastahili kuitwa hivyo.
Kwa mara ya kwanza alionekana kama mtu ambaye angetekeleza ahadi za kupambana na rushwa na kupata ufumbuzi wa tatizo la ajira na kuleta ustawi wa jamii. Lakini kipindi chake madarakani kiligubikwa na kuuzima upinzani wa kisiasa na kudorora kwa uchumi.
Bwana Sata ni rais wa pili wa Zambia kufariki dunia akiwa madarakani.

Chanzo cha habari ni BBC.

POLENI SANA WATU WA ZAMBIA
 
Shukuru mods wamekuwa wananiandama kwa kunipiga ban kila mara ningekupa faka za nusu mauti.
 
Back
Top Bottom