Tsidikeu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,312
- 890
Kunanini huko mbona marais wanaugua na kufa
Mkuu huko hawana mda wakugombana km sisi..wanachokifanya km hujishughulishi na jamii iliyokuchagua baasi unapewa tu pipi kisha unatangulia mbele kwa mbele kwa mustakabali wa nchi