Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

Ana akili sana, kwanini Mtu aendekeze uzinzi na uasherati

Kwanini Mtu asichukue vipimo vya afya na huyo Binti kabla hajajihusisha naye kimapenzi

Kamlazimisha nani kuwa naye katika mahusiano ya mapenzi

WARUMI 6:23.

"Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."

1 WAKORINTHO 6:18.

"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe."

Mwana kulitafuta, mwana kulipata
😂😂😂😂Walokole bwana....kwa hiyo umefurahi sio?
 
Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA).

Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko.

Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa.

Pana kitu na Uafrika wetu hakipo sawa.

Mengine ni makelele tu.
===

A fourth year female student at the University of Zambia (UNZA) has confessed that she has infected 52 male lectures with HIV positive during her study period at the campus in Lusaka.

Grace Matafwali, 29, said in an emotional testimony at Gospel Mission Church in Kuku area, Lusaka, that when she was accepted at UNZA her lectures took advantage of her and forced her to have intercourse with them thereby infecting her.

Giving Her testimony, Ms Matafwali said she doesn’t know who infected her but she resorted to revenge the moment she realised she was HIV positive.

According to her she started sleeping with every lecturer who came in her way as part of her revenge.

“I do not know who infected me but when I found out that I was HIV positive, I was so drained and miserable. I was depressed especially that I knew I was infected and the worst thing is I did not know who did that to me,” she said.

She continued that lecturers at UNZA have a tendency of asking for sexual favors from female students and if you do not give in, you fail.

“Being an orphan on bursary for that matter, I could not imagine failing so I gave in to about three lectures. After some time, I developed some unusual sores on my private parts so I decided to do tests and that is how come I found that I was sick,” she said.

She continued; “But with time, I managed to put myself together and made a decision to equally infect others and revenge. Since my tests were done, I slept with 52 lecturers at UNZA without protection and I made sure that it was dry sex so that I get bruises to ensure effective infection.”

She then revealed that her acts are now hunting her and she feels bad about it hence a decision to start seeking God and became a born again.

“When I sit down and think about this, I feel bad. I begun to seek Christ and that is how come I became born again. Am giving this testimony because I know I have been saved from the sins I committed.” she said.

University Of Zambia Student Confesses To Have Infected 52 Lecturers With HIV
She's crazy, Christ will never do anything for her. She needs to ask herself, when was the last time Christ came to people's aide? Pope in Rome has been praying to him to end the war in Ukraine, end famine in East Africa but he choses to ignore that call. My dear Africans please wake up, never believe in Christianity or Islam for they are man made religions.
 
Hayo ndiyo unayakuta kule kwenye uzi wa "kula kimasihara" yakipambana kutunga stori za vijiweni na kuongeza chumvi ilimradi yaonekane majanja kumbe mwisho wa siku ni kujutafutia tu kufa mapema

Mithali 16:25

"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu;
Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
Kwa hiyo wewe hautakufa kwa vile Ni mtakatifu au sio?
 
Hayo ndiyo unayakuta kule kwenye uzi wa "kula kimasihara" yakipambana kutunga stori za vijiweni na kuongeza chumvi ilimradi yaonekane majanja kumbe mwisho wa siku ni kujutafutia tu kufa mapema

Mithali 16:25

"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu;
Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
Ila jamani ile mbususu tamuu sana
 
Utakufa tu..hata ukifurahia vifo vya wenzio
Kufa ni wajibu lakini dhambi ya makusudi isiwe kichocheo cha mimi kufa kwa maisha niliyojichagulia mwenyewe kisha nikataka huruma za kusikitikiwa na kila Mtu. Sababu wakati naenda kuitenda hiyo dhambi nilishajua kabisa matokeo yake yakoje.

Itoshe tu kusema kila Mtu aubebe msalaba wake mwenyewe.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom