Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,017
Hatarious
Google image inaonesha ndio huyu. Ingawaje yaweza kuwa sio picha yake.Grace Matafwali, 29,
We si unao ukimwi anataka ambao hawanaTena alivyo na takro mie nitatoa dau niwe wa kwanza kumgegeda
Kama ni huyo kwenye picha hata kama mimi ningekuwa lecture angeniambukiza tu
HaswaaaaWamepima?anaweza dhani wamepata kumbe hamna kitu
Do you have any story to tell us???NAMUONA NI SHUJAA
WAKITOKEA MMOJA MMOJA WA HIVI KILA CHUO, TUTAKUWA PAZURI ZAIDI.
Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA).
Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko.
Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa.
Pana kitu na Uafrika wetu hakipo sawa.
Mengine ni makelele tu.
===
A fourth year female student at the University of Zambia (UNZA) has confessed that she has infected 52 male lectures with HIV positive during her study period at the campus in Lusaka.
Grace Matafwali, 29, said in an emotional testimony at Gospel Mission Church in Kuku area, Lusaka, that when she was accepted at UNZA her lectures took advantage of her and forced her to have intercourse with them thereby infecting her.
Giving Her testimony, Ms Matafwali said she doesn’t know who infected her but she resorted to revenge the moment she realised she was HIV positive.
According to her she started sleeping with every lecturer who came in her way as part of her revenge.
“I do not know who infected me but when I found out that I was HIV positive, I was so drained and miserable. I was depressed especially that I knew I was infected and the worst thing is I did not know who did that to me,” she said.
She continued that lecturers at UNZA have a tendency of asking for sexual favors from female students and if you do not give in, you fail.
“Being an orphan on bursary for that matter, I could not imagine failing so I gave in to about three lectures. After some time, I developed some unusual sores on my private parts so I decided to do tests and that is how come I found that I was sick,” she said.
She continued; “But with time, I managed to put myself together and made a decision to equally infect others and revenge. Since my tests were done, I slept with 52 lecturers at UNZA without protection and I made sure that it was dry sex so that I get bruises to ensure effective infection.”
She then revealed that her acts are now hunting her and she feels bad about it hence a decision to start seeking God and became a born again.
“When I sit down and think about this, I feel bad. I begun to seek Christ and that is how come I became born again. Am giving this testimony because I know I have been saved from the sins I committed.” she said.
University Of Zambia Student Confesses To Have Infected 52 Lecturers With HIV
Huyu anafaa kwa matumizi maana tako zuri kweliWe si unao ukimwi anataka ambao hawana
Wazee wa kula tunda kimasihara wanatoa povu tu hapa....
Anataka wasio na maambukizi we unayo hana kazi na wewe,Huyu anafaa kwa matumizi maana tako zuri kweli
Mie ninao kivipi jamani mbona mie nipo safi kabisaAnataka wasio na maambukizi we unayo hana kazi na wewe,
Eti eeh jf ni km kijiji ukumbuke Hilo,, hata hivyo uwe na siku njemaMie ninao kivipi jamani mbona mie nipo safi kabisa
Ana akili sana, kwanini Mtu aendekeze uzinzi na uasheratiHana akili na revenge zake za kipuuzi.
🤣🤣🤣🤣🤣Tunapoelekea mademu wabovu watapata soko.
Kabisa...mwanadamu anapewa muongozo wa jinsi ya kuishi lakini kwa kujidai mjuaji anafanya anayoyakua yeye mwishoe akipata ngoma anaanza kulalamika🤣🤣🤣🤣🤣Ana akili sana, kwanini Mtu aendekeze uzinzi na uasherati
Kwanini Mtu asichukue vipimo vya afya na huyo Binti kabla hajajihusisha naye kimapenzi
Kamlazimisha nani kuwa naye katika mahusiano ya mapenzi
WARUMI 6:23.
"Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu."
1 WAKORINTHO 6:18.
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe."
Mwana kulitafuta, mwana kulipata
Unamaanisha kwamba itakuwa imeota nakozHiyo papuchi sipati picha iko na sura gani baada ya kuchakazwa na zaidi ya vidume 50+
Hahaaaa nyeusiiiii tiUnamaanisha kwamba itakuwa imeota nakoz
Hayo ndiyo unayakuta kule kwenye uzi wa "kula kimasihara" yakipambana kutunga stori za vijiweni na kuongeza chumvi ilimradi yaonekane majanja kumbe mwisho wa siku ni kujutafutia tu kufa mapemaKabisa...mwanadamu anapewa muongozo wa jinsi ya kuishi lakini kwa kujidai mjuaji anafanya anayoyakua yeye mwishoe akipata ngoma anaanza kulalamika