Zamani ilikuwa waumini wa dini zote wanahimizwa kumcha Mwz'Mungu. Lakini siku hizi wanahimizwa mno kutoa sadaka ili Mungu akulipe kwa njia ya kuboresha biashara yako, maisha yako,upate utajiri, na kadhalika. Kwa ujumla binadamu wa sasa wote wapo kimasilahi zaidi. Imani imebaki kwenye michango ua harusi tu.