Zamani raha hiace Tsh. 3800

View attachment 3636601
tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
Duu! Namba ya gari imekuwa ndiyo bei? Ndugu mwandishi zamani namba za magari zilikuwa zinaanza na TZ halafu inafuata herufi, baadaye namba. Mfano TZA 250; TZB 470 nk. Hiyo hapo kwenye tangazo la gazeti namba yake ilikuwa ni TZH 3830
 
Umewapata haswa,
Ilikuwa ni kipimo cha watu wenye msongo wa mawazo, wamekutapikia haswa
 
Mimi nimelisoma lote, Nauri ya kurudi nyumbani ni 10000, gari liuzwe 3000😁😁 usicheze na akili yangu aisee.
 
Hivi tunavyoongea mleta mada anakaribia mpaka wa msumbiji na Tanzania na harudi tena, sio kwa kumgombania huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…