Zamani aliona madaftari mzigo, sasa anaona zege jepesi

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
3,897
5,354
Habari wana-JF kwa ujumla, elimu ndio kila kitu kwa ustawi wa nchi na kwa maendeleo ya mtu binafsi, kuna kijana mmoja la chuga alikuwa akilazimishwa na wazazi wake asome.

Yeye kwa akili ya ujinga akaona kama vile wanamuonea. Sasa amekuwa mtu wa kujitegemea, wazazi wamekuwa wazee, shule alifeli, ajira hakuna, yupo hapa Dodoma makao makuu.

Anafanyakazi ya saidia fundi maiko na hayo hapo juu ndio maneno yake vijana someni kwa bidii kila mtu atabeba msalaba wake mbeleni.
 
Mbona umekuja spidi sana kumsimanga mshikaji.

Elimu sio lazima ya chuo kikuu. Mafanikio hayana uhusiano na shahada wala cheti.
Yana uhusiano sana ndo maana hata watu wa Zamani ,waliwaita waliosoma,wataalamu,usidanganye watu na Wala simsimangi kanituma niwape ujumbe na ni mshikaji wangu kinoma,acha kujitetea soma mkuu!
 
Yana uhusiano sana ndo maana hata watu wa Zamani ,waliwaita waliosoma,wataalamu,usidanganye watu na Wala simsimangi kanituma niwape ujumbe na ni mshikaji wangu kinoma,acha kujitetea soma mkuu!
bado unatumia akili za babako aliyekuaminisha kuwa bila kukremishwa elimu ya wazungu utafeli maisha.
Njoo Kariaako uone watu wanaojua kusoma na kuandika na hawakufika hata kidato cha kwanza wanavyofanya mambo makubwa.
 
Sawa hata mimi pia kwa elim yngu ndogo ya 4m 4 niko kwny zege coz nataka kupata chochote. Kutokusoma sana mpaka level ya chuo haimanish nilikuwa spnd shule kuna changamoto nyng katk maisha ndo maana inabd 2fanye kaz za kila namna hata hzo saidia fundi ilimrad mkono uende kinywani
 
Chbado unatumia akili za babako aliyekuaminisha kuwa bila kukremishwa elimu ya wazungu utafeli maisha.
Njoo Kariaako uone watu wanaojua kusoma na kuandika na hawakufika hata kidato cha kwanza wanavyofanya mambo makubwa.
Usiwe mjinga na mpumbavu soma kichwa Cha habari na mtiririko vizuri,sijataja mahali mzungu huo ni ujinga wako!
 
Sawa hata mimi pia kwa elim yngu ndogo ya 4m 4 niko kwny zege coz nataka kupata chochote. Kutokusoma sana mpaka level ya chuo haimanish nilikuwa spnd shule kuna changamoto nyng katk maisha ndo maana inabd 2fanye kaz za kila namna hata hzo saidia fundi ilimrad mkono uende kinywani
Uko sahihi mkuu,huyu ninayemuongelea maisha ya kwao yalikuwa vizuri akawa anazembea kwenda shule!
 
Kwa Tz aliyesoma na asiye soma bora asiyesoma anamaisha mazurialikualiku kwasababu amejikubali na anafanya kazi yoyote bila aibu hata zege,mkuu graduates wanapitia magumu sana acha kabisa
Ni kweli,huyu jamaa alikuwa na fursa ila alizembea makusudi wa tumbo Moja waliosoma,wako vizuri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom