Zalisha umeme kupitia maji ya DAWASCO

Zalisha umeme kupitia maji ya DAWASCO

  • Ili umeme uzalishwe lazima Dinamo izunguke
  • Ili Dinamo izunguke lazima maji yapite (yatiririke)
  • Ili maji ya yapite (yatirike) lazima mteja awe anayatumia au ameyaachia yamwagike- hapa ndio tunaongelea gharama kuwa kubwa
  • Ile nguvu iliyozuiliwa na koki unaweza tu kuitumia kama maji yameachiwa/yanapita/yanatirirka
  • Ili maji yawe na uwezo wa kuzungusha Dinamo lazima yawe na presure (hivyo ukifungulia kidogo) hayataweza kuzungusha dinamo hivyo hutapata umeme
Umewahi kuangalia nguvu inayohitajika kuzungusha dinamo ya baiskeli itoe umeme wa kuwasha kale kataa kamoja?
Na pia kwa kukusaidia fahamu namna spinkler za maji zile za kumwagilia viwanja vya mpira zinavyo fanya kazi ndio utaelewa nacho zungumza...Maji yanayotoka katika spinkler hua ni kidogo ila presha inayotumika kuyarusha na kuzungusha spinkler hua ni kubwa sana...Ili spinkler ichomoke katika ardhi na ianze kuzunguka ujue presha ya maji hayo si mchezo japo maji ambayo yataruka yatakua ni machache...
 
Kipindi hiko unazalisha umeme Ile mita yao ya maji Iko wazi au umetoa? Mwisho wa Siku unakuta unazalisha unit Moja ya umeme Kwa gharama y ya shilingi elfu kumi!
Dawasco hawapimi muda wa kuchota maji wanapima kiasi cha lita za maji ulizo chota...Kwahiyo unataka kuniambia bosss ukifungulia maji yatoke kidogo kidogo kwa muda wa siku kumi kujaza tank bili ya maji itakua kubwa kuliko kujaza tank hilo kwa siku moja????
 
Natamani nipate maelezo na changamoto ya mawazo yenye kuchambua kisayansi hoja hii na sio kwa kudhahania ili hoja hii ionyeshe madhaifu na kuiboresha...
 
Mkuu unajua nini kinatokea pale unapofungua maji kidogo katika bomba ambalo lina presha kubwa????

Je ile nguvu iliyozuiwa na koki inaenda wapi???

Ile nguvu iapotea tu...

Na labda pia nikusaidie kwa DAWASCO bili ya lita LITA 1000 zikijaa kwa saa moja ni sawa na lita 1000 zikijaa kwa siku 20...

Tofauti na mita za umeme mita za Dawasco zinahesabu LITA hasihesamu energy wala time...

Japo kikanuni wao ni lazima watumie Energy kukufikishia hayo maji either kwa Generator au Gravitation force..

Kuhusu kusoma bado nasoma ndugu hadi leo nimesoma ila sio form 4 sasahivi napambana na PHD.
Kama unapambana na PHD,,,ilitakiwa ufafanue zaidi kwa mfano ungeanizia na kutueleza hicho chanzo cha umeme ni cha Watts ngapi,,, hii ingesaidia kujua aina ya DC generator utakayohitaji na then pressure ya maji ya kiasi gani,, na battery ya aina gani.

ila kama hoja ni kupata tu umeme bila kujali vigezo vingine maelezo yako yanajitosheleza.
 
Hapana boss mimi peke yangu siwezi kutimia katika kukamilisha tafiti...Nimeleta hoja hii katika jukwaa la wasomi nikiamini nitapata changamoto za hoja za kisayansi ili mawazo yenu yanisaidie katika kuboresha project...

Hivyo nacho tarajia kutoka katika jukwa hili ni uchambuzi wa variables za kiumeme na ki machenical...

Hivyo wadau wa humu ni muhimu sana ili kuonyesha weakness za kisayansi ili project iboreshwe...
 
Kama unapambana na PHD,,,ilitakiwa ufafanue zaidi kwa mfano ungeanizia na kutueleza hicho chanzo cha umeme ni cha Watts ngapi,,, hii ingesaidia kujua aina ya DC generator utakayohitaji na then pressure ya maji ya kiasi gani,, na battery ya aina gani.

ila kama hoja ni kupata tu umeme bila kujali vigezo vingine maelezo yako yanajitosheleza.
Hivyo kwa kawaida lazima ijulikane je wazo la project linawezekana...???

Na hapo katika kujua kiasi gani tutazalisha kwa kasi gani ya maji na kama project husika ni economical tangible au la hilo ni swala la baadae...
 
A little hydroelectric analysis would help to see it’s feasibility.

Power due to a hydroelectric dam is given by: P= Q*g*rho*H*n

Q=flow rate (M3/s)
g=9.8N/m2
rho=water density (1000kg/m3)
H=head (dam height down to turbine) in meters
n=head loss coefficient (internal pipe resistance to water flow.

Notice that power is gravitational potential energy.

Coming to your case:

If DAWASA uses storage tanks then your energy will be due to gravitational potential energy of tanks and if they use direct pumping your energy will be due to water kinetic energy.

Most of streets in DSM are flats and hills mixed. Relying on GPE from tanks there will be frequent pressure losses.

We go with pumped system.

Change in Kinetic energy from DAWASA pipes can be estimated to 1/2*dM*V2*n

dM =change in water mass
V2= water speed squared
n=kinetic efficiency

Now rate of kinetic enegy overtime is power
P=K.E/t
This gives change in power =1/2*deltaM*V2*n /t

Over specific time
Power will be due to integration of small water packets flowing per time intervals.

P=integral (1/2*deltaM/t)*v2*n

Taking dM=rho*dV

dV =volume difference

P=1/2*rho*(dV/t)*n*v2

Where

dV/t =flow rate Q (m3/s)

P=1/2*Q*rho*v2*n————-(2)

Assuming:
n=kinetic efficiency of 80% kutoka DAWASA mpaka SINZA
rho=1000kg/m3
Sinza? an average of 20 litres per 1 min. This translates to (20/min) which equals;-
Q= 3.33e-3 m3/s

Well continuity equation
Q=A*V
A=pipe cross section area
Flow speed
Taking 1.5 inch pipe diameter yields
A=1.14e-3 m2

Doing one-two on Q above gives us speed V = 2.92m/s2

Back to eqn 2 above

Power =1*2*1000*3.33e-3*(2.92)^2*0.8

Power =14.2 watts
In kiloWatts
P= 0.0142kW

To get 1 kWh unit equal to tanesco metering

E=p*t
After one hour
Energy =0.0142kWh

To get to 1kWh will be after (1/0.0142) 70hrs i mean almost 3 days to get a single energy unit. Not necessarily continuous flow.

Tweaking pipe diameter would boost pressure as well as power generated. That would affect the design proportionally.

Assuming my data aren’t exaggerated or close to utility values that above would be a close analysis. ( I’m no water engineer, I’m electrical).

——————-

Turbine-generator design selection au mmechoka?
 
Kati ya bomba yako na kati ya TANK unaweka mfumo ambao maji yanavyopita yanakua yakisukuma (machenical rotor) ambayo imeungwa katika Generator...

Wakati maji yanaenda katika Tank Ile presha yake itatumika kuendesha rotor...japo kikanuni utatumia muda mwingi kujaza Tank ila utakua umevuna pia ile nguvu ya maji na kuzalisha umeme....Bila kuvunja Sheria yoyote ya DAWASCO...

UKumbuke Dawasco wao hawakulipishi kwa nguvu inayotumika kukuletea maji mteja...Wanakulipisha kwa liters za maji...

Kama una akili Vuna hizo nguvu ambapo wao DAWASCO wanazizalisha kwa Majenerator au Gravitation force...

Kama kuna ubishani naomba watu wa physics na watu wa machenical energy walipinge hili Asante..
Niongezee huo umeme utakaozalishwa upeleke kwenye battery charger kisha invertor na hasa kwa maeneo ambayo maji ya RUWASA hayana muda maalumu wa kutoka
 
"energy can neither be created nor destroyed, but it can be transformed from one form to another"
Fizikia inatufundisha hivyo, uko sahihi kitheory ni sawa practically utatengeneza umeme kiasi gani kwa bei ya chini kuliko TANESCO na gharama utakazotumia kwa dawasco, unaweza jikuta unit 1 umezalisha kwa elfu 7.

Kuna idea kama yako niliipata ila nikaiachia njiani.

Hivi vitu vinanoga ukiwa unafanya practically, unakuwa unaboresha mara kwa mara mpaka unapata kitu kizuri zaidi.

Edson mpaka anafanikisha bulb ya umeme alifanya majaribio kama buku hivi, yes, majaribio 1000 kwa teknolojia ya balbu tu.
 
A little hydroelectric analysis would help to see it’s feasibility.

Power due to a hydroelectric dam is given by: P= Q*g*rho*H*n

Q=flow rate (kg/s)
g=9.8n/m2
rho=water density (1000kg/m3)
H=head (dam height down to turbine) in meters
n=head loss coefficient (internal pipe resistance to water flow.

Notice that power is gravitational potential energy.

Coming to your case:

If DAWASA uses storage tanks then your energy will be due to gravitational potential energy of tanks and if they use direct pumping your energy will be due to water kinetic energy.

Most of streets in DSM are flats and hills mixed. Relying on GPE from tanks there will be frequent pressure losses.

We go with pumped system.

Change in Kinetic energy from DAWASA pipes can be estimated to 1/2*dM*V2*n

dM =change in water mass
V2= water speed squared
n=kinetic efficiency

Now rate of kinetic enegy overtime is power
P=K.E/t
This gives change in power =1/2*deltaM*V2*n /t

Over specific time
Power will be due to integration of small water packets flowing per time intervals.

P=integral (1/2*deltaM/t)*v2*n

Taking dM=rho*dV

dV =volume difference

P=1/2*rho*(dV/t)*n*v2

Where

dV/t =flow rate Q (m3/s)

P=1/2*Q*rho*v2*n————-(2)

Assuming:
n=kinetic efficiency of 80% kutoka DAWASA mpaka SINZA
rho=1000kg/m3
Sinza? an average of 20 litres per 1 min. This translates to (20/min) which equals;-
Q= 3.33e-3 m3/s

Well continuity equation
Q=A*V
A=pipe cross section area
Flow speed
Taking 1.5 inch pipe diameter yields
A=1.14e-3 m2

Doing one-two on Q above gives us speed V = 2.92m/s2

Back to eqn 2 above

Power =1*2*1000*3.33e-3*(2.92)^2*0.8

Power =14.2 watts
In kiloWatts
P= 0.0142kW

To get 1 kWh unit equal to tanesco metering

E=p*t
After one hour
Energy =0.0142kWh

To get to 1kWh will be after (1/0.0142) 70hrs i mean almost 3 days to get a single energy unit. Not necessarily continuous flow.

Tweaking pipe diameter would boost pressure as well as power generated. That would affect the design proportionally.

Assuming my data aren’t exaggerated or close to utility values that above would be a close analysis. ( I’m no water engineer, I’m electrical).

——————-

Turbine-generator design selection au mmechoka?

Sijui kwanini serikali hawakuoni, walitakiwa wakupe ile kandarasi ya Stiglers maana nimevutiwa sana na hii analysis
 
Hivi vitu vinanoga ukiwa unafanya practically, unakuwa unaboresha mara kwa mara mpaka unapata kitu kizuri zaidi.

Edson mpaka anafanikisha bulb ya umeme alifanya majaribio kama buku hivi, yes, majaribio 1000 kwa teknolojia ya balbu tu.
Kuna mtu anaitwa Pwagu kule Njombe anafanya sana haya mambo ila aliishia STD 7 kuna kipindi Tanesco walitaka kumfunga ati anaingilia kazi yao
 
Unatoa micro-watts ngapi ? kama resistance ni kubwa (Wattage ni kubwa) unaweza usijaze hata tone na umeme usipate..., anyway nina uhakika kwa huu mzunguko wako you are better off kuvuna from solar panels efficiently au kwenye stream natural...

Unless upo kwenye sehemu yenye pressure kubwa na theoretically na inefficiency ya mashine pressure hio kubwa ya kuweza kukupa umeme wa uhakika huenda hata pipes zako zikawa zinaleta matatizo hence some maitanance costs (muda) which will make the all endeavor not worth it....

Unaweza ukasema uweke tank ghorofani alafu motor uweke baada ya tank la juu mpaka tank la chini (Pressure equals Height x Density x Gravity) lakini utajikuta maji yakifika chini ili uyatumie itabidi uyachote na kuyatumia which will consume more energy kuliko uliyopata.....
 
Kipindi hiko unazalisha umeme Ile mita yao ya maji Iko wazi au umetoa? Mwisho wa Siku unakuta unazalisha unit Moja ya umeme Kwa gharama y ya shilingi elfu kumi!
Shida ya idea yake haipo hapo yeye anasema anachukua maji atakayoyatumia na umeme anazalisha kabla ya kutunza hayo maji atakayoyatumia baadae..., tatizo la idea yake ni inefficiency huenda akapata umeme zaidi kwa kuzungusha motor ya baiskeli na kutunza umeme ili awashe tochi (after all atakuwa anafanya zoezi kuliko aende Gym)
 
Naomba uelezee hapa kitaalamu inakuaje maji yaje yalete bili kuwa kubwa?

Mfano ukaamua bila kufunga mfumo wa umeme,ukaamua tu kuzuia presha ya maji kwa kufungua koki ya maji yako kidogo na pressure yote ikawa inaishia katika koki ya maji bila kuzalisha chochote..je bili ya maji itaongezeka?

Naomba nidadavulie hapa kitaalamu mkuu ili theory yangu ionekane mapungufu yake...Karibu.
kama sijakusoma vibaya, DAWSCOA wakikupa huo mpira, ambao maji yatakua yakiingia kwenye hilo tank, utakua unapewa bure na DAWASO hayo maji....!?
Kumbuka yatakua ni mengi huwezi yatumia peke yako.
 
Mm nashauri innovation hizi mtumie source za asili km jua/mwanga na upepo,maji yanachangamoto sn kwakua inakua controlled and demand nikubwa tofauti na upepo or mwanga/jua
 
Ingekua rahisi hivyo, Serikali wasingehangaika kwenda kujenga bwawa la mwl Nyerere, wangefunga tu hizo rotor pale mto Ruvu😁
 
Back
Top Bottom