Mwambie auze laptop moja apate US$ 98 za kutuma zawadi zilizobaki, kisha yeye abaki na pesa zingine alizouza laptop. Hapo umemaliza mchezo.
Kivipi we huoni napiga bingo hapo
Kwanza email yako kapataje? Jiulize nakwambia hao ni matapeli shukuru Mungu upo jf na unapata ushauri kuna wengine kama wewe hawana sehemu ya kuomba ushauri na wanakurupuka na kutuma pesa .mijamaa inapiga pesa sio mchezo kwa tamaa. Acha tamaa kijana
Dear Mary,
I just received very bad news that my mother is seriously sick after getting a heart attack this morning. I will therefore be flying to my home village today, a journey which will take me over 12hrs. If her condition improves, I will come back home after one week. Kindly do me a favour, just pay the shipment costs and I will refund you on my arrival.
I am deeply sorry for the inconviniences but I hope you can understand the situation I just got into.
Regards,
@MCM
hao ni matapel i wa kimtandao,samahan ilakini unaonekana ni mgeni wa kimtandao haya mambo yapo kwenye mitandao ya kijamii, kuna rafiki yangu aliwahi tuma ac.no wakaiba hela zote na ac ikawa blocked,we mwelekeze ukweli kama wewe umeshtuka kama yeye ni tapeli uone kama atarudia kkukutumia smss za nanmna hyo tena. kukutumia