Zali la mentali, ushauri tafadhali

Zali la mentali, ushauri tafadhali

[h=3][MENTION]Fidelis Sanga[/MENTION], [MENTION]Pilato93, [MENTION]Smart911, [MENTION]JAGAJU, [MENTION]bagalole147, [MENTION]Tuya, [MENTION]stwita,[MENTION]Mgibeon,[MENTION]Lucky sabasaba,[MENTION]etc, hiyo maelezo ya mama huyo Dr Oliver pamoja na picha zake hizo sasa mniambie ni wa bongo kweli[/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION][/MENTION]THANK YOU FOR YOUR REPLY‏‏‏‏‏‏‏‏‏[/h] People
oliver michell
9k=
Z
9k=
Z
2Q==
Z
Z
9k=
2Q==
2Q==
Z
9k=
To me




Dec 30, 2014

[h=3]This message contains blocked images.[/h]


[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]THANK YOU FOR YOUR REPLY‏‏‏‏‏‏‏‏‏[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]Hey my dear friend, [/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]How are you doing and life with you in general?I hope you had a wonderful day.I am fine.It's just that Oliver, is a very busy woman. All the contents of your mail were quite noted and understood. It is true we have not met; nevertheless, from your mail i am taking you for seriousness.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]
[/FONT]

[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]Before i proceed, i will like to inform you that If we are to become best of friend, we are to base our friendship on honesty, trustfulness, and love, above all, open-minded; this is because i do not want to experience pain or you, in any ways, as i really want to be your friend.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]I am glad that you base your mails on honesty and i know we will go places.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]Anyway,i will keep on trying my best to make out time and check my mail just for your sake and i promise once i receive any of your mail i will get back to you immediately,This is also one of my picture.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]take care of yourself.[/FONT]
[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]I love you.
[/FONT]

[FONT=Comic Sans MS, sans-serif]Best Regards
[/FONT]
 
M CM vipi mbona unatuchosha? Ushaambiwa unaibiwa utaki kukubali hizo picha wana download tuu kwa mtandao .Naomba ufunge uzi huu.Yatosha
 
We call them SCAMS,never ever try to send anything to them,km huamini copy and paste hilo jina lake kwenye internet halafu unipe majibu hapa.
Wezi wa mitandaoni hao.
QUOTE=M CM;11685150]Wana JF habari,
Ni hivi nilikuwa nachati na mama mmoja huko UK ila sijui e-mail yangu alipataje kikubwa mama alikuwa anataka tuwe marafiki tu na picha kibao kanitumia na huyo mama anajiita Dr.OLIVER MICHELL
Sasa kuna siku akaniambia nimekutumia zawadi kupitia kwa Rev sis Mary maana yeye kaenda haiti kwa shughuli za kidini kwa hiyo akanipa mawasiliano na huyo mwenye zawadi yangu ambaye ndiyo huyo hapo chini copy and paste maelezo ya huyo aliyetumwa na zawadi.
Sasa wakuu mnishauri nitume kiasi hicho cha pesa ili niweze pata huo mzigo .

Ushauri tafadhali






ohnson To me



Jan 14 at 2:23 PM
[FONT=arial, sans-serif]from Rev sis Mary Johnson
[FONT=arial, sans-serif]

[/FONT]

GOOD DAY.
MAY THE PEACE OF THE LORD BE WITH YOU,HAPPY NEW YEAR

[/FONT]



I'm Reverend ,Sister Mary Johnson,a friend to Dr.Oliver Michell from United Kingdom. Am here in Senegal for missionary work with (Hope Worldwide Aid support to Senegal with my groups, Sisters of Our Lady of Christian Doctrine.)


Sorry for my late response, we just arrived here in Senegal and i have been trying to set up our tents in other to start work immediately,the weather here is too hot and we have a lot of places to visit.


I have been able to make contact concerning the sending of the gift package which contain 2 Toshiba laptops computer, i-phones, AN ENVELOPE, Video Camera and some jewelries, with photos e.t.c, from your friend.


D.H.L Check the parcel and charge (98,Dollar ) which is about to dispatch it to your contact address in your country . D.H.L is much more effective and rapid.


The D.H.L will take 2-3 working days for the gift parcel to reach your home address. I will advice that you send the postage money through any money transfer agency such as western union money transfer or money gram and forward all the transfer information to me in my names .I will send your package immediately once the amount for D.H.L is received.


I want to tell you that this is my first time to visit Africa and i don't have any bank account to give you now, but i have make an inquiry with our driver here and he told me that the only way you can send money to me is through Western Union Money Transfer Or Money Gram


You can use the below information to transfer the posting fee
.
Receiver Name :Mary Johnson
Question:
Answer :
Address : 72B Yoff Tonghor
city : Dakar
Country : Senegal .

please try to send the money through Western Union Money Transfer with the above given information and send me the scan copy of the transfer slip. The D.H.L officials told me that there is no possibility of sending your gift package without the fee as such services is not available in this Country Senegal.


Please try and send me this money immediately so that i can send you the gift soon because we will be visiting some villages from next week. This money is the only thing that is holding me to post the package to you now. OR if you can come down to Senegal to pick it up, it will also be preferable. You can use the Above information to transfer the D.H.L fee.


please call me as soon as you send the money and also SCAN the transfer slip and send me a copy.
Thanks and remain blessed
Rev,Sis Mary Johnson .
: rev.sis.maryjohnson@hotmail.com
Phone: +221781498158








Reply, Reply All or Forward | More[/QUOTE]
 
Hapo umeliwa chekundu! Shida yake ni hizo $98! Hao ni wasenegali na wanaijeria!
 
Kama ningekuwa natunza e-mail za wezi zingefika mia tano, mimi walishakuja hadi arusha wakaniambia nitume pesa niakivait nyingine nikafoji copy wu waliangaika mapaka wakawa wanaongea kiswahili kizuri kumbe TP
 
Dah kumbe kuna watu bado hawajui aina hii ya utapeli?!Acha ujinga wewe hao matapeli mbona wanafahamika ulikuwa wapi mkuu?.Wenzako tumeshakutana nao sana tu na tumewastukia.Usitume pesa utaliwa pesa yako.
 
Ndugu yangu, ukiona umeula ujue umeliwa. Bongo nzima hapa, zali la mentali la ukweli lilimtokeaga Prof. J pekeyake kutoka kwa mtoto Viki......wengine wote hakuna kitu
 
Last week nimepokea post kwenye fb account yangu kutoka hilo jina (Dr. Michelle) ikinitaka nijibu kupitia e-mail yake. Kwa kuwa nawafahamu hawa matapeli nikamjibu tu kuwa kwa kuwa amenipata fb haina mbaya tukichat hapa hapa coz mawasiliano ndo ya muhimu siyo e-mail. Mpaka sasa naingia mtamboni sijajibiwa. Fungua macho kijana hawa watu ni hackers na cyber thieves!
 
Ye ye yee..mm mwaka jana yalinikuta hayo na ni huyohuyo mtu wanajifanya wacha Mungu ni wezii..tuma hicho kiela chako ulie kama ana lengo la kukutumia zawadi iweje aku charge ww tens???? Akili kichwani mwako....
 
Last week nimepokea post kwenye fb account yangu kutoka hilo jina (Dr. Michelle) ikinitaka nijibu kupitia e-mail yake. Kwa kuwa nawafahamu hawa matapeli nikamjibu tu kuwa kwa kuwa amenipata fb haina mbaya tukichat hapa hapa coz mawasiliano ndo ya muhimu siyo e-mail. Mpaka sasa naingia mtamboni sijajibiwa. Fungua macho kijana hawa watu ni hackers na cyber thieves!

Nilishawajua kuwa ni wezi na wameibuka wangine wanne kwa njia nyingine ya ushawishi
 
Ye ye yee..mm mwaka jana yalinikuta hayo na ni huyohuyo mtu wanajifanya wacha Mungu ni wezii..tuma hicho kiela chako ulie kama ana lengo la kukutumia zawadi iweje aku charge ww tens???? Akili kichwani mwako....

Situmi kitu hapa nilishastuka kitambo
 
Alianza kwa kunipa historia ya maisha yake na picha kibao nikajua nimekutana na mtumishi wa mungu

umekutana na mtumishi wa shetani mkuu,,, mtumie then subiri DHL wakupigie...kasubirie pale kwenye ile bar inayouza banana,,, ndo ofisi yao ilipo, pata 2 pale..
 
Mie nilishawahi kutumiwa email kama hio ...
Sikudhubutu kutuma hela.

Jaribu ww yawezekana ikawa zali la mentali.
 
Mkuu na me ivo ivo but leo ndo nmeambiwa zawadi ipo Senegal nikawa nafikiria but SIKUAMINI ila e mail alianza yy facebook zen nikawa nachat nae
Duh kumbe ndo ivi
Mmmmmmmh
 
Mkuu na me ivo ivo but leo ndo nmeambiwa zawadi ipo Senegal nikawa nafikiria but SIKUAMINI ila e mail alianza yy facebook zen nikawa nachat nae
Duh kumbe ndo ivi
Mmmmmmmh

Muulize yeye yuko senegal sehemu gani exactly? Mwambie akwambie alipo na namba yake ya simu tumkomeshe. Alafu nipe details mi niko senegal nitampigia nimpake
 
Back
Top Bottom