Zakia Meghji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zakia Meghji!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ehud, Apr 18, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wana JF naombeni kujua uraia wa huyu mama hivi yeye ni Mtanzania wa kutoka Zanzibar au ni Mtanzania wa Tanganyika? Nauliza kwa sababu juzi kwenye vikao vya CCM ameonekana kuingia kwenye CC ya CCM kama mtu wa kutoka bara lakini hapo kabla mwaka 2005 JK alitaka awe mgombea mwenza wake kwa kuwa ana asili ya Zanzibar!

  Je mama huyu uasili wake unabadilika badilika ili kukidhi matakwa ya Wakubwa?
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ni Mzanzibari aliyeolewa na Mbara kwa maana hiyo ni Mbaara
   
 3. M

  Maimai Senior Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tena mamannkwe
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  kweli kwa yeyote mwenye kujua atujuze! nasikia yeye amezaliwa unguja lakini mume wake ni mwenyeji wa Sumbawanga (nafikiri mumewe ni marehemu). Sasa kitendo cha kuolewa na mtanganyika kinamfanya awe wa tanzania bara lakini kimantiki yeye ni mzaliwa wa Zanzibar na hivyo ni sahihi kuwa refered kama mzanzibari.Sema hii status yake ya u-bara au visiwani inakuwa na utata kidogo. Nilipata kumuuliza mwanasiasa mmoja mkongwe akaniambia hicho nilichokieleza hapo juu. Kwahiyo kutegemea mahitaji kwa wakati ule anaweza kuwa Mzanzibari au Mtanganyika.
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Sasa kama mume wake ni mtu wa Sumbawanga ilikuwa je akawa anaingia kwenye vikao vya maamuzi ndani ya sisiem kama mjumbe kutoka kilimanjaro?
  Amekuwa mwakilishi kutoka kilimanjaro kwa miaka mingi.
  .
   
 6. m

  mlagha Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zakia amezaliwa zanzibar maeneò ya kisima majongoo karibu na kisiwa ndui. Baba yake anaitwa mariam hamdan anaishi kisima majongoo na ni mjumbe wa media council of Tanzania . Zakia amezaliwa pacha؛
   
 7. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Hapa umenimix! Baba anaitwa mariam?? Au ndo mambo ya visiwani hayo???
  Huyo pacha wake yuko wapi na anaitwa nani? Tujuze please!
   
 8. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Nadhani ulikusudia dada zake kuwa ni Maryam Hamdani pamoja na Rabia Hamdani. Ni familia maarufu hapo Zanzibar.
   
 9. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Imekuwaje akawa mjumbe wa cc ya ccm kutoka bara?
   
 10. B

  Baba Ipyana Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Je wewe unauhakika na uraia wako na wazazi wako? Tusianzishe vitu vilivyopigwa na Mwalimu
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mwenzetu,mshihiri.
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  ndio nina uhakika..je wewe?
   
 13. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mume wake alifanya kazi Chuo cha ushirika Moshi kwa muda na mara nyingi weekend Zakhia alikuwa anakuwa Moshi
   
 14. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzanzibar au Mbara wote watanzania so sioni hatari hata angekuwa mwakilishi wa Tabora kama makazi yake yangekuwa huko
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani swali la msingi ni kwa nini huyu mama anabebwa sana na JK? sijawahi kusikia akigombea jimbo lolote lakini bungeni hakosekani, nadhani ni bora nafasi ya huyu mama angepewa Batilda Buriani maana alipigana vita ya kuwania jimbo kura hazikutosha, kwa maono yangu wanawake wenye ujasili wa kugombea majimbo wakishindwa jimboni ndio wapewe kipaumbele kwenye huu ubunge wa dezo.
  Kama mtakumbuka kama sio gazeti la Mtanzania kumuonya Kikwete basi huyu mama alikuwa tayari anarudi tena kwenye baraza la mawaziri.
   
Loading...