Kuhani,
Si ndio utamaduni wetu wa marehemu hasemwi huo.
Zakhia Meghji amekaririwa jana na Gazeti la Daily News akisema alikuwa na uhusiano mzuri wa kikazi na Billal. Ina maana alivyo tueleza kwamba alidanganywa na Billal alikuwa anaongopa?
May 21st, 2008, Baada ya Ballal 'kufa.'
Former Minister for Finance, Mrs Zakhia Meghji told the 'Daily News' that Dr Ballali was ailing for the nearly two years she worked with him and that he needed to travel regularly to the US to visit his doctor. She said that they enjoyed a good working relationship, and prayed for his soul to rest in peace.
January 14th, 2008, Kabla Billal 'hajafa'
"I agreed to sign the letter, drafted by the governor himself, because I trusted the governor at that time. It was only later that I realized the payments to Kagoda Agriculture Limited were not related to any government expenditure."
Huyu Mama aidha fisadi, au mwongo mwongo.
Zakia chakula ya Rostam Azizi...
Hivi unaijua skandali ya Loliondo au unapiga kelele tu hapa? Unakumbuka ni waziri gani hapa Tz ambaye alipewa hata jina la skandali ikiwa mojawapo ya hiyo Loliondo?Wataznania
Wote mnakumbuka adha ya Loliondo na watu wa kule , mnakumbuka wanyama kusombwa kwenda Arabuni na Ulaya , mnakumbuka Utalii kukabidhiwa wageni yote haya kwa kiasi kikubwa yalifanywa na Meghji Waziri ambaye aliupata Uwaziri kwa Ubunge wa rais mwenyewe
Hivi unaijua skandali ya Loliondo au unapiga kelele tu hapa? Unakumbuka ni waziri gani hapa Tz ambaye alipewa hata jina la skandali ikiwa mojawapo ya hiyo Loliondo?
Hebu usisushe hadhi ya JF..
Wataznania
Wote mnakumbuka adha ya Loliondo na watu wa kule , mnakumbuka wanyama kusombwa kwenda Arabuni na Ulaya , mnakumbuka Utalii kukabidhiwa wageni yote haya kwa kiasi kikubwa yalifanywa na Meghji Waziri ambaye aliupata Uwaziri kwa Ubunge wa rais mwenyewe .Hazina mnajua madudu ya kule hata wakawaza kusema tunaweza kutumia a USD pamoja na sisi kuwa huru zaidi ya miaka 40 .
Sasa mimi nauliza si wakati wa kujua kwa Zakia aliamua kutuhujumu na sasa hakuna anayemgusa anakula kwa utulivu huku Nchi ina angamia ?
tumekuwa ni watu tunaobururwa sana kimawazo!!
wakuu wametutaka tuimbe wimbo wa ufisadi basi bila ya kuvuta pumzi na kujiuliza tumekuwa wa kuhemkwa tu.
akisemwa Mwatumu fisadi hufikiri unaruka kweli fisadi.
zakia mwanamme wake rostam kweli na vipambio tuengeze kama vile tunajua sana.
JF makini lazima tuipiganie irudi na ni ile yenye kuja na data za uhakika halafu ndio tunafanya analysis kwadata sio kukurupula tu
Wewe ndie huna data, kama unataka kuweka rekodi, basi Loliondo na Meghji futa hiyo kwanza, Kama hujui kitu usione aibu kuuliza na sio kuandika kitu ambacho hakipo...Mtu wa pwani wewe si mtu wa data bali kubeza kama hapo ulipo beza ..
Mtu wa pwani wewe si mtu wa data bali kubeza kama hapo ulipo beza .hapa watu tuna uliza Maliasili wakati wa Meghji kuna mengi yametokea.Tunataka kuweka rekodi straight na ibaki iko siku tutakuja kutafuta data hizi .Mtu wa pwani data zako zimekuwa ni utetezi na vijembe na labda kuhamisha data na kupeleka huko unako husika wacha kutukana watu .Hapa haimbishwi mtu na mambo huwa yanaanza namna hii .Tunataka kujua mambo wakati yanaenda mrama kule Maliasili na Utalii yeye alifanya nini .
Wataznania
Wote mnakumbuka adha ya Loliondo na watu wa kule , mnakumbuka wanyama kusombwa kwenda Arabuni na Ulaya , mnakumbuka Utalii kukabidhiwa wageni yote haya kwa kiasi kikubwa yalifanywa na Meghji Waziri ambaye aliupata Uwaziri kwa Ubunge wa rais
Mwaka 1992 sehemu ya Loliondo(LGSA) ilikodishwa kwa asasi ya uarabuni kwa ajili ya uwindaji na ubebaji wa wanyama kwa kipindi cha miaka 10. Mwaka mmoja baadae (1993) Waziri wa utalii wakati huo Abubakar Mgumia alijiuzuru kutokana na kashfa ya LGSA...Mkuu
Hapa sijui kama watu wanalielewa hili som kwani limetokea kipindi kirefu kidogo!
Ni kweli kipindi kile kampuni ya uwindaji ya Kiarabu ilipopewa kibali cha kuendesha shughuli za uwindaji Loliondo Bi. Zhakia alikuwa waziri wa maliasili na Utalii.