Zakhia Hamdani Meghji ni nini kinamsibu?!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
huyu bibi mkongwe wa ccm kila siku .................................kuna nini angaliaa hii picha na kama wamfahamu vizuri enzi zake alipokuwa anatesa kwenye wizara mbalimbali kuanzia ya afya, utalii, fedha n.k ambako aliturundikia mzigo wa kodi kwenye mafuta akidai serikali inahitaji fedha za kutengeneza barabara...............lakini huku akitoa misamaha mikubwa ya kodi kwa wawekezaji kama vile KTM n.k.............................ninaona anazidi kuwa mwembamba na hana nguvu........................mumewe alianguka bafuni na akaaga dunia.................................sijui kama kuna uhusiano wowte na kuzorota kwa afya yake hata bungeni hana mchango wowote zaidi ya kukusanya mafao ya Ubunge......

salamu-lc.jpg
 
Great minds discuss ideas; Average minds discuss events; Poor minds discuss people!
 
Code:
Huyu mama kweli anakonda sana, sijui ni uzee!!?

uzee upi na hata miaka 60 hajafikisha...........................kuna kaugonjwa kanampekecha ila sina uhakika......................lakini hata uso wake umebadilika........................amekuwa siyo mchangamfu na anahitaji maekup saba kufunika makovu mengi usoni............dalili za mvua ni mawingu..............na jamaa zake wa karibu kama mwinyi na Mkapa wote spana mkononi........................just thinking aloud............
 
Great minds discuss ideas; Average minds discuss events; Poor minds discuss people!

afya za viongozi wanaochota mapesa kibao bila ya kufanya kazi is petty? Think again............................afya zao is a public concern too/...........
 
Halafu hapo anasalimiana na swahiba wake, ingekuwa anasalimiana na Nape sijui ingekuwaje!

angemsubiri Nape apande bajaji halafu amfukuzie nyuma na kumgonga halafu asem lakini bado alikuwa mzima mzima tu..................kama alivyomuua yule mpenzie wa zamamni na nduguze.........
 
umempa wewe?

kwenye hili Jk alikwisha kutusaidia pale aliposema ya kuwa.................ukitaka ule lazima uliwe..........................tatizo hapo ni kuwa utakula hata ambavyo huwa haviliwi.................................
 
Si anazeeka jamani! Ukichangia na bata la uwaziri ilikua si haba. Hebu acha unyanyapaa ruta,usitake kutuambia hizo! Siku hizi ukimwi sio hatari kama diabetes.[/QUOTE]

hili siyo kweli kamwulize yule aliyekuwa Raisi wa Nigeria...............Yardua......alifikia hatua ya kuuita jina lisilostahili................heart congestion........HIV is number one killer of African leaders........................and more than 90% will die from HIV in the next ten years...............lakini watasingizia kisukari kubwa.........
 
Binaadam hujafa hujaumbika, kama ni ugonjwa au maradhi basi Mwenyeezi mungu atamuondolea, sidhani kama kuna mmoja wetu humu anajijuwa in 2 days time atakuwaje?

"do not judge the book by its cover", hebu kuweni ma great thinkers na si kuongelea watu tuongee ideas.

Ruta unaniangusha, you are of a higher caliber than this, in my opinion.
 
mods naomba tuipe heshima jf kwa kuondoa hii thread

mru ana maelfu ya posts lakini sasa na kaamua kuimgilia watu binFsi

hajui kwamba na yy watu wanamjua na wakiamua kuanika yamhusuyo na yeye hayajui yatamharibia amani fakealiyonayo kwa sasa

haya ruta.... go on
 
afya za viongozi wanaochota mapesa kibao bila ya kufanya kazi is petty? Think again............................afya zao is a public concern too/...........

Ruta dont waste your time 'miafrika ndivyo tulivyo', tunalia maisha magumu bila kujiuliza nini kinasababisha ugumu huo. Kina Zitto, Mwakyembe, Mwandosya, Mwanri wanakamua pesa yetu huko India then liafrika limoja linakuja na semi za kukariri...eti Simple mind.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom