Zakhia Hamdani Meghji ni nini kinamsibu?!

Binaadam hujafa hujaumbika, kama ni ugonjwa au maradhi basi Mwenyeezi mungu atamuondolea, sidhani kama kuna mmoja wetu humu anajijuwa in 2 days time atakuwaje?

"do not judge the book by its cover", hebu kuweni ma great thinkers na si kuongelea watu tuongee ideas.

Ruta unaniangusha, you are of a higher caliber than this, in my opinion.
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
 
huyu bibi mkongwe wa ccm kila siku .................................kuna nini angaliaa hii picha na kama wamfahamu vizuri enzi zake alipokuwa anatesa kwenye wizara mbalimbali kuanzia ya afya, utalii, fedha n.k ambako aliturundikia mzigo wa kodi kwenye mafuta akidai serikali inahitaji fedha za kutengeneza barabara...............lakini huku akitoa misamaha mikubwa ya kodi kwa wawekezaji kama vile KTM n.k.............................ninaona anazidi kuwa mwembamba na hana nguvu........................mumewe alianguka bafuni na akaaga dunia.................................sijui kama kuna uhusiano wowte na kuzorota kwa afya yake hata bungeni hana mchango wowote zaidi ya kukusanya mafao ya Ubunge......

salamu-lc.jpg

Mkuu upo !!
Nimemisi habari zako toka magazetini .sisi wengine magazeti tunapata siku ya pili na mengine mtandaoni hayapo au wanachelewa kuposti.
 
Ruta dont waste your time 'miafrika ndivyo tulivyo', tunalia maisha magumu bila kujiuliza nini kinasababisha ugumu huo. Kina Zitto, Mwakyembe, Mwandosya, Mwanri wanakamua pesa yetu huko India then liafrika limoja linakuja na semi za kukariri...eti Simple mind.....

Kaka...Mwanri hayupo in~dear...
 
Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa, kama na wewe unaumiza na kuwatesa wanaadamu wenzio bila kujali uko madarakani au lah wakati wa kuweka mambo sawa na kutubu ni sasa kabla mbingu na pepo kufungwa.
 
huyu bibi mkongwe wa ccm kila siku .................................kuna nini angaliaa hii picha na kama wamfahamu vizuri enzi zake alipokuwa anatesa kwenye wizara mbalimbali kuanzia ya afya, utalii, fedha n.k ambako aliturundikia mzigo wa kodi kwenye mafuta akidai serikali inahitaji fedha za kutengeneza barabara...............lakini huku akitoa misamaha mikubwa ya kodi kwa wawekezaji kama vile KTM n.k.............................ninaona anazidi kuwa mwembamba na hana nguvu........................mumewe alianguka bafuni na akaaga dunia.................................sijui kama kuna uhusiano wowte na kuzorota kwa afya yake hata bungeni hana mchango wowote zaidi ya kukusanya mafao ya Ubunge......
salamu-lc.jpg
Ruta, hivi hii thread umepost wewe au kuna mtu ameiba ID yako? Tafadhali tafakari na uchukue hatua.
 
huyu bibi mkongwe wa ccm kila siku .................................kuna nini angaliaa hii picha na kama wamfahamu vizuri enzi zake alipokuwa anatesa kwenye wizara mbalimbali kuanzia ya afya, utalii, fedha n.k ambako aliturundikia mzigo wa kodi kwenye mafuta akidai serikali inahitaji fedha za kutengeneza barabara...............lakini huku akitoa misamaha mikubwa ya kodi kwa wawekezaji kama vile KTM n.k.............................ninaona anazidi kuwa mwembamba na hana nguvu........................mumewe alianguka bafuni na akaaga dunia.................................sijui kama kuna uhusiano wowte na kuzorota kwa afya yake hata bungeni hana mchango wowote zaidi ya kukusanya mafao ya Ubunge......

salamu-lc.jpg
Ndugu yangu laana za mikataba iliyofilisi taifa inamtafuna na bado, wengine nao waangalie Tanzania haiko pekee inaye Mungu mtetezi wake, hayo ni majibu bwana!!!!!!!!!!!

nadhani kuna mambo ya kujadili
lakini inapofia linalohusiana na uhai wa mtu tujaribu kuwa na ubinadamu!
huyu mama umri umeenda sasa jamani!
 
hajafikisha miaka 60 hapo kama mwendo ni huu mdundo basi the end is very close.............
Ruta, sio nia yangu kuunga au kupinga hoja yako (kwamba huyu mama ana maradhi!) lakini kwa kuweka kumbukumbu sawa tu....Mama Meghji alizaliwa 31 December 1946 hivyo mwisho wa mwaka huu (31 December 2011) atatimiza miaka 65...sio umri mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom