Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,413
- 36,573
Taratibu MkuuDola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana
Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
Read between linesTaratibu Mkuu
Haya Uliyonayo Siyo Mapenzi Ni Mahaba
Kama hawa wakiwa wenye heri mimi nitakuwa malaikaDola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana
Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
Sahihisho la kizalendo Mkuu: Read between linesRead between line
Kama hawa wakiwa wenye heri mimi nitakuwa malaika
Aisee hahaaDola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana
Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
HahahaKama hawa wakiwa wenye heri mimi nitakuwa malaika
Mbona anaonekana anajiamini sana? Haogopi hiyo kesi ya utakatishaji fedha ambayo hata dhamana haina? I see...…...
Sasa utafanyaje mkuu yakikukutaMbona anaonekana anajiamini sana? Haogopi hiyo kesi ya utakatishaji fedha ambayo hata dhamana haina? I see...…...
Hans amesomewa mashitaka mawili amepata dhamana ya mil 15 kwa kila kosa na wadhamini wawili yupo nje kwa sasaMbona anaonekana anajiamini sana? Haogopi hiyo kesi ya utakatishaji fedha ambayo hata dhamana haina? I see...…...
Safi. Makosa yake ni tofauti na yale ya akina Aveva?Hans amesomewa mashitaka mawili amepata dhamana ya mil 15 kwa kila kosa na wadhamini wawili yupo nje kwa sasa
Aveva na kaburu wamerudishwa rumande naona kuna tofauti lakini kesi ni moja sijui nafuatilia nitawajuzaSafi. Makosa yake ni tofauti na yale ya akina Aveva?
Shukrani sana MkuuAveva na kaburu wamerudishwa rumande naona kuna tofauti lakini kesi ni moja sijui nafuatilia nitawajuza