Zakaria Hans Poppe aunganishwa kwenye kesi inayowakabili Evans Aveve na Kaburu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,273
36,263
FB_IMG_1539688246528.jpg
 
Dola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana

Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
 
Taratibu Mkuu
Haya Uliyonayo Siyo Mapenzi Ni Mahaba
 
Dola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana

Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
Kama hawa wakiwa wenye heri mimi nitakuwa malaika
 
Dola ya Julius Nyerere na John Magufuli inafanana Kwa vitu vingi Sana

Kama Nyerere hatimae yupo kwenye mchakato wa Kuwa Mwenye heri I'm sure Na Magu anazo sifa Za Kuwa Mwenye heri
Aisee hahaa
 
MO, Manji, Aveva, Kabourow, Hans pope , Malinzi!

Hawa Ni wadau wa Michezo sina kingine Cha kuwaambia!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom