Zain na NIPE NIKUPE...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zain na NIPE NIKUPE...!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Konakali, Feb 1, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Jamani msijaribu hii, ni wizi mtupu! Wanadable gharama za kupiga simu, halafu ndo wanakurudishia nusu kwa masharti ya kutumia. Mimi najuta.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,873
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hahahah biashara hiyo mkuu, hebu fikiria wewe upige simu ya ths 200 halafu urudishiwe mia mbili yote ni kanisa hilo au, wale wafanyakazi watalipwa mshahara wao na nini?
   
Loading...