Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy.
Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisaa. Kuna majina ya watu ambao hawapo kabisa duniani.
Kuna majina ambayo yamerudiwa mara mbili na mara ya pili yakabadilishwa jinsia. Majina haya yote yana namba tofauti tofauti za utumbalisho wa mtumishi.
Idara iliyoongoza kwa majina feki ni idara ya elimu msingi. Ukifika kwenye ubao wa matangazo wanakataza kupiga picha majina haya, sababu wanazijua wenyewe.
Inasemekana, mchongo huu umepangwa na AFISA UTUMISHI, AFISA WA NMB, WAKUU WA IDARA na Mkurugenzi Bi. LOEMA PETER. Mkurugenzi analijiua hili lakini ana exit strategy. Fununu zinasema atakae pata shida dili likigundulika ni wakuu wa idara, ila mkurugenzi na afisa utumishi watakua salama.
Maoni yangu, zoezi la upandishaji madaraja liendeleee sambamba na uchunguzi, ikigundulika kuna wizi huu ambao utaendelea kila mwezi kama hatua zisipochukuliwa, wahusika wasimamishwe.
Tunaipenda nchi yetu, hatutaki irudi kule ilikokua.
Hili lisipofanyiwa kazi, waziri itaonekana ndio fisadi na alihusika moja kwa moja. HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE IMEOZA. UPIGAJI IMEKUA TAMADUNI ILIYOHALALISHWA.