Manara ni mbumbu na ana mchecheto, Atakamama Zahera atawapa mbinu Vita mwisho wasiku wanaocheza ni wachezaji sio Makocha. Kama mpira utachezwa bila mizengwe wakufungwa anajulikana.Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, bila shaka wamesoma alama za nyakati. Wanatafuta visababu ili wakifungwa waseme ni Zahera. Sijapata kuona sababu ya kipumbavu.mbumbumbu fc acheni upumbavu. hivi manara kawaloga? mangapi aliyowadanganya? pangeni timu, wekeni malengo ya kushinda, pambaneni, mnawachezaji wazuri na mna kila kitu. tunachotaka watanzania ni kuona mnawakilisha taifa letu vizuri, leteni kombe nyumbani. kwani zahera anaingia uwanjani na kucheza? au mnatafuta pa kufia? HUYO KICHAA WENU ANAWAPOTEZA. MTAKUA LINI NA AKILI ZENU ZA KUAZIMA! msituletee balaa la hamsa hamsa tena! na mkifungwa tunakaa na bakora mlangoni pa gari. unakula zako tatu za matakoni ndo unaingia kwenye gari... leteni ujinga!
Sabotage kwa Simba sio nchi, labda ingekua Taifa Stars hapo sawa
Andadog wameshaanza kutafuta mchawi, kesho hazitafika hamsa zitaishia Arba