Zahera na AS Vita ndani ya nchi hii?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,639
33,414
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.

Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?

Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?

Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.

Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijaelewa Zahera ana ihujumu vipi Simba kwa kushiriki kwake na timu ya As Vita. Yule sio mtanzania ni mkongo, na ile As Vita ni timu inayotokea Congo, Kocha wa Vital ni kocha mwenzie anayefundisha nae timu ya taifa ya Congo. Tatizo lipo wapi kwa Zahera kumpa mbinu za kiufundi kocha mwenzie? Hapo hakuna hujuma, labda kama Zahera anafanya namna ili marefa wahongwe, au kama anafanya mbinu chafu zisizoruhusiwa kwenye mpira wa miguu. Lakini kama anaisaidia Vita kwenye mambo ya kiufundi kwenye uchezaji wa mpira basi kwa upande wangu sioni hiyo hujuma kwa timu ya Simba.

Na pia Zahera halipwi mshahara na watanzania, bali analipwa mshahara na timu ya Yanga ambao ndio maasimu wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.

Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?

Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?

Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.

Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Manara ni mbumbu na ana mchecheto, Atakamama Zahera atawapa mbinu Vita mwisho wasiku wanaocheza ni wachezaji sio Makocha. Kama mpira utachezwa bila mizengwe wakufungwa anajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zahera halipwi mshahara na watanzania, kwa hiyo hata kama atataka kuwafundisha AS Vita, poa tu. Pia Simba siyo timu ya Tanzania, wale mamluki wote wanaocheza Simba unawaita watanzania? Hawajui hata kiswahili. Simba ni mamluki wa mtu binafsi tu kwa hiyo hata wakifungwa sawa tu.
It's bussiness, not political.
 
Simba haiwakilishi nchi. Inajiwakilisha yenyewe. Hiyo sio Taifa Stars. Ndiyo maana mnasema this is Simba.

Zahera halipwi na Watanzania. Analipwa na Yanga, hasimu wa Simba. Mtu pekee anayelipwa na Watanzania ni Emmanuel Amunike.

Awe Congo au ajifiche na Vita, it's non of Simba business.

Nadhani mchecheto umewaingia mikia.

Okwi mmempa hela zake?
 
mbumbumbu fc acheni upumbavu. hivi manara kawaloga? mangapi aliyowadanganya? pangeni timu, wekeni malengo ya kushinda, pambaneni, mnawachezaji wazuri na mna kila kitu. tunachotaka watanzania ni kuona mnawakilisha taifa letu vizuri, leteni kombe nyumbani. kwani zahera anaingia uwanjani na kucheza? au mnatafuta pa kufia? HUYO KICHAA WENU ANAWAPOTEZA. MTAKUA LINI NA AKILI ZENU ZA KUAZIMA! msituletee balaa la hamsa hamsa tena! na mkifungwa tunakaa na bakora mlangoni pa gari. unakula zako tatu za matakoni ndo unaingia kwenye gari... leteni ujinga!
 
Mkuu, bila shaka wamesoma alama za nyakati. Wanatafuta visababu ili wakifungwa waseme ni Zahera. Sijapata kuona sababu ya kipumbavu.

Naamini wale Simba wenye akili zao timamu watakerwa na upuuzi wa Zeruzeru.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom