Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,361
11,518
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni Yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa Simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi Tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
 
Kocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.

Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.

Barafu la moto
 
Sijasema ametangulia nimekuambia anahaki ya kukutana na kocha mkuu wake, mengine ni tetesi. Sasa kocha wa Yanga wewe mtu wa Simba anakupaje shida? Tungelalamika sisi baada ya timu yetu kuachwa kwa msaidizi, kwani nyie mlipopigwa 5 alisababisha Zahera?
Mkuu, na wewe unaamini Zahera ametangulia DRC kwenda kuiandaa timu ya taifa?

Barafu la moto
 
Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza
 
Wewe ni bonge la mbumbumbu! Mnashindwa kushughulika na maandaalizi ya mechi yenu mnakimbilia mambo yasiyo natija, Zehera ni mkongo na vita ni ya Kongo muacheni afanye anavyotaka kwanza hajaajiriwa na simba. Mipango yenu ya kuihujum vita nje ya uwanja imeshindwa mnatafuta pakusingizia ..kesho mtanuna zaidi maaaaanina zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba.vu sana.Lickongo lingine hili hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema ametangulia nimekuambia anahaki ya kukutana na kocha mkuu wake,
Labda kuna maneno siyaoni vizuri, hebu nirudie kusoma:

Kocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.
Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.
Barafu la moto
 
Hahahah hujui hata unachokisema,alisema anaondoka kwasababu za kiusalama? Uwe unapata taarifa zilizo nyooka sio lazima umfuate manara
Huyu ameshindwa namna ya kuondoka Yanga yenye ukata wa fedha. Anataka afanyiwe vitimbwi na mashabiki wa Simba ili iwe sababu ya yeye kuiacha Yanga. Kwa ufupi alikuwa anawahimiza wachezaji wake wasiondoke Yanga kwa kutolipwa mshahara, ila sasa ameona yeye akiondoka kwa sababu hizo atakuwa amesaliti kile alichowahimiza wachezaji wake. Kwa hiyo ametafuta mbinu ili aseme ameondoka nchini kwa kuhofia usalama wake, lakini ukweli ni kukosa mshahara ndio kunamkimbiza

Barafu la moto
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
You must be out of your miserable mind.

Zahera ni mwajiriwa wa Yanga sio Taifa Stars.

Use your brain to reason. Eti utawasamehe Yanga. Wewe ni nani hasa?
 
Kocha wa As Vita ni kocha mkuu wa timu ya taifa LA Congo, yupo nchini. Kocha msaidizi anatakiwa atangulie Congo kwenye kambi kwaajiri ya maandalizi maana next week wana mechi.

Yaani asiende wakabadilishane mawazo na kocha mkuu kisa Simba? Acha upopoma.

Barafu la moto
Wana msimbazi wanawayawaya, tayari wameshapoteeza focus mchezoni, wanamfocus Zahera
 
Back
Top Bottom