We kambagasa huna tofauti na jogoo. Jogoo nae ni baba, anazaa tena watoto wengi. Jogoo anatongoza, jogoo anahonga, Ila alei. Unawezaje kuwa baba wakati huwezi kununua hata nepi? Ulivyokuwa bw.ege unasema mama akakutafutia familia safi ukaenda kuoa! Yani umetafutiwa mke, umesaidiwa kulea watoto na mama yako. Utakuwaje na uchungu na mtoto wakati huna unachogharamia?
Baba gani asiyeweza kulea/kutunza watoto wake. Wewe mi m1 wao. Mwisho, kama ungekuwa mwanamke ungezaa ukiwa na umri gani?
Hata ungeandika kiswahili tungekuelewa tu. Endelea kusugua gaga na habari ndiyo hiyo.
Mapema ni umri gani? Tuanze na wewe. Kwa mfano umeanza darasa la kwanza ukiwa na miaka 7, ukimaliza darasa la 7 unakuwa na 14. O level ukimaliza unakuwa na 18, A level ukimaliza unakuwa na 20. Ukienda jeshi unakuwa na 21. Chuo ukimaliza unakuwa na 24. Ukiianza kazi jumlisha mauhusiano miaka 3 unakuwa na 27. Hapo ujajumlisha kurudia au kufail.
Unazaaje hapo sasa.
Kwi kwi kwi kwi!! Umenitukana lkn ikabidi nicheke tu badala ya kukasirika. Ni hivi bro mila zetu unapopevuka kwanza unapewa hilo wazo la kuoa na wazazi endapo wameshaona una uwezo binafsi wa kukaa na mke. Ukiafiki wazazi watakushauri baadhi ya familia ambazo wao wameshazifanyia uchuguzi kuwa zina malezi bora. Baadae katika hizo familia (mfano tatu) utachagua mwenyewe ni yupi umevutiwa nae hapo ndipo utapeleka posa na kuelezea namna utakavyoishi na huyo mchumba pindi unasoma. Ndugu usifikiri wote tumekuwa kama ulivyokuwa na kama kuna mapenzi ya kweli mke atakusubiri na atakuvumilia safari yako yote ya maisha pia naamini hata leo kuna watu wanarudi masomoni wakiziacha familia ama wake zao Aidha kwa wazazi ama ndugu. Tatizo lako ndugu yangu Zeroseventytwo umezoea kupata wachumba Badoo na Waplog sasa hapa sifikirii kama utanielewa.
Mwisho nakukaribisha kwenye familia yangu hiyo huku kanda ya ziwa.
Mimi nachojua ni kwamba hicho ulichokiandika kinapatikana zaidi kwenye familia za kifugaji. Unakuta kijana wa miaka 16 tayari ana mke na mtoto lakini bado anakaa kwa baba yake yeye na mke wake. Shughuli zote za uzalishaji anafanya na kinachopatikana ni Mali ya baba yake.
Kwa mtu ambaye ana malengo hasa ya elimu kuzaa Mara nyingi unakuwa akiwa na 30 yrs.
Nyie igeni wazungu, fainali uzeeni.
Mapema ni umri gani? Tuanze na wewe. Kwa mfano umeanza darasa la kwanza ukiwa na miaka 7, ukimaliza darasa la 7 unakuwa na 14. O level ukimaliza unakuwa na 18, A level ukimaliza unakuwa na 20. Ukienda jeshi unakuwa na 21. Chuo ukimaliza unakuwa na 24. Ukiianza kazi jumlisha mauhusiano miaka 3 unakuwa na 27. Hapo ujajumlisha kurudia au kufail.
Unazaaje hapo sasa.
Mapema ni umri gani? Tuanze na wewe. Kwa mfano umeanza darasa la kwanza ukiwa na miaka 7, ukimaliza darasa la 7 unakuwa na 14. O level ukimaliza unakuwa na 18, A level ukimaliza unakuwa na 20. Ukienda jeshi unakuwa na 21. Chuo ukimaliza unakuwa na 24. Ukiianza kazi jumlisha mauhusiano miaka 3 unakuwa na 27. Hapo ujajumlisha kurudia au kufail.
Unazaaje hapo sasa.
Tatizo mnataka mkizaa watoto muwageuze vitega uchumi kuzidi uwezo walio nao.
Kwamfano sasa Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37. Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44. Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48 Anamaliza kidato cha 6, wewe una miaka 50 Anajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa, wewe una miaka 51 Anamaliza Chuo kikuu 4years, wewe una miaka 55 Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka mzima, wewe una miaka 56 Hapo mtoto hajafeli wala kurudia Vidato. Huyo ndio first born wako hapo tumeasume umempata ukiwa na miaka 30. Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52. ZAENI MAPEMA ACHENI UBISHOO!!!!