Za mwanae au?

Za mwanae au?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1423420438221.jpg
 
marejesho ( mateitei) hili neno limenikumbusha mbali sn....
Huenda huyu ni beki3
 
Last edited by a moderator:
Hapo kati mmh afu ametoka kuoga kanga inanata,akikatiza mbele yako lazima utananiiiiii,au ngoja narudi
 
Hapo kati mmh afu ametoka kuoga kanga inanata,akikatiza mbele yako lazima utananiiiiii,au ngoja narudi

Mambo ya uswazi hayo halafu unakuta kijungu kakigeuzia dirishani kwako msela huku bibie anasugua gaga na kanga moko
 
nini za mwanae...mbona miye naona kitu kingine kabisa!!!
 
Tabia ya akina mama au dada kuanika chupi nje imeenea sana tangu miaka ya elfu2 hata huku kwetu uzunguni wapo. Mnalundika chupi af mnafua kwa pamoja ili tuone mnazo nyingi? Kwanza kulundika chupi ni dalili tosha ya kuwa mchafu. Maliza kuoga fua chupi yako, huo ndo ustaarabu pumba.vu zenu kabisa.
 
Mi Hilo hio plate namba ya nyuma tu nimeipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom