Za Farkhina

Za Farkhina

Mie vitu ambavyo sijui vimekaa kwa muda gani nacheza navyo mbali, maziwa ya unga yanaweza yakawa ya mwaka 47 si unajua tena nchi yetu inavyofanywa dumping area, juzi tu watu wamelishwa mayai mabovu (sijui yalikuwa mayai viza?) yaliyomwaga kwa wingi inadaiwa toka China.

Hujui maziwa ya nido? Weee mda mwengine chai yake huwa tamu ukajiramba hadi kujitafuna lol
 
Mie vitu ambavyo sijui vimekaa kwa muda gani nacheza navyo mbali, maziwa ya unga yanaweza yakawa ya mwaka 47 si unajua tena nchi yetu inavyofanywa dumping area, juzi tu watu wamelishwa mayai mabovu (sijui yalikuwa mayai viza?) yaliyomwaga kwa wingi inadaiwa toka China.

Itakua mayai ya kutengenezwa naskia hadi wale kaa kama wa baharini wanatengeneza tena moja ya ingredient ni unga wa muhogo wachina wana balaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmmmm! dah! Hawa watu ni balaa.

Itakua mayai ya kutengenezwa naskia hadi wale kaa kama wa baharini wanatengeneza tena moja ya ingredient ni unga wa muhogo wachina wana balaa
 
Itakua mayai ya kutengenezwa naskia hadi wale kaa kama wa baharini wanatengeneza tena moja ya ingredient ni unga wa muhogo wachina wana balaa

Duuu hizi ni habari zilizovunjika breaking news
 
Back
Top Bottom