Za Farkhina

Za Farkhina

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415846407763.jpg
 
Maziwa fresh yasiyochakachuliwa, kwa wale wapendao maziwa la sivyo ya rangi kishapo unashushia na glass ya fresh juice au sahani ya mixed fruits

Ukimaliza apo kitumbo mbwi kama umesomewa halbadiri
 
Hilo nalo neno, unaweza ukapewa chai ya maziwa yaliyochakachuliwa hata ile ladha ya chai ya maziwa haipo tena, maziwa glass moja maji glass 8 lol!!!!

Maziwa fresh yasiyochakachuliwa, kwa wale wapendao maziwa la sivyo ya rangi kishapo unashushia na glass ya fresh juice au sahani ya mixed fruits
 
Hilo nalo neno, unaweza ukapewa chai ya maziwa yaliyochakachuliwa hata ile ladha ya chai ya maziwa haipo tena, maziwa glass moja maji glass 8 lol!!!!

Au kuna wale wanachanganya maziwa fresh na ya unga kunakuwa na ladha ya ajabu kweli halafu lazima tumbo lijae mno na mashoes kila dakika
 
Dah!!!! Nomaaa maziwa ya unga tena!! Mie bora nipe ya rangi yenye mchaichai.

Hujui maziwa ya nido? Weee mda mwengine chai yake huwa tamu ukajiramba hadi kujitafuna lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani nilikusoma kwenye uzi wa urojo nimeutafuta holaaa, siuoni labda haukuanzishwa na wewe.

Alaa kumbe mie napenda sana urojo huna la kuniambia yaani hata nile kila siku haunichoshi urojo ukamilike lakini hadi chatne iwepo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom