Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

mogulnoise

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
2,445
Reaction score
5,555
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana.

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu.

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana.

Wasalaamu.
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la TZ na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Ninyi na Makonda wenu wote ni mapumbavu. Kwa hiyo Makonda ameona hiyo ndiyo namna ya kujipigia kampeni ili kushinda nafasi ya Ubunge ambayo hata jina lake likirudi atatakiwa achinje kuku wa kijani kushukuru?

Mbona watanzania mmekuwa watu wa kuoungukiwa akili kila uchwao? Hizo habari za kuji brabd kuwa atakuwa Waziri Mkuu anamtisha nani wakati huyo anayetegemea atamteua mpaka sasa yeye mwenyewe hana uhakika na hiyo nafasi?

Safari hii mazoea mliyoyaweka kwenye siasa yanaebda kufa, na watu wa aina yenu mkatafute kazi za kufanya...kama Mungu ataamua muwe hai.
 
Acheni upumbavu basi
Yaan ina maana CCm tumeishiwa kiasi hiki hadi kupendekeza majambaka?

Britanicca
Siku zote umekuwa mkahidi ila Makonda ndiye mpakwa mafuta
Na atakapo apishwa nafsi yako itasinyaa kama jani la tumbaku
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Anavyopenda kiki sasa
 
Wapumbavu ninyi na Makinda wenu. Kwa hiyo Makinda ameona hiyo ndiyo namna ya kujipigia kampeni ili kushinda nafasi ya Ubunge ambayo hata jina lake likirudi atatakiwa achinje kuku wa kijani kushukuru?

Mbona watanzania mmekuwa watu wa kuoungukiwa akili kila uchwao? Hizo habari za kuji brabd kuwa atakuwa Waziri Mkuu anamtisha nani wakati huyo anayetegemea atamteua mpaka sasa yeye mwenyewe hana uhakika na hiyo nafasi?

Safari hii mazoea mliyoyaweka kwenye siasa yanaebda kufa, na watu wa aina yenu mkatafute kazi za kufanya...kama Mungu ataamua muwe hai.
Makonda haitaji kupiga kampeni yule tayari ni mpakwa mafuta
 
Mkikosa vitu vya kuandika ni bora mkae kimya, sio mnatuletea upumbavu wenu. Kilichomkuta Kigamboni ndio kitamkuta Arusha
Mkuu Arusha alijiandaa mapema mpaka akawalisha nyama iliyofanyiwa manuva ili kuwapumbaza sema uzuri watu wa chuga hasa vijana ni watumiaji watiifu wa miraa dawa za kichawi huwa zinadunda ila kwa kuwa alishamchafua Gambo na kuwaandaa wajumbe ili wamkate Gambo ili asimame yeye kwenye kugombea ubunge ukizingatia hatuna uchaguzi huru ila ukishapitishwa na ccm wewe tayari umeshinda.
Hivyo kajamaa katashinda na kakitua bungeni tu kanapewa uwaziri wa wizara flani nyeti.
Hii nchi bila katiba mpya na tume huru tutabaki hivi mpaka Yesu arudi!
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Nonsense
 
Naunga mkono hoja, angalia tarehe ya bandiko hili Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

P
 
Back
Top Bottom