Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,577
- 5,585
Mbona UMepanic sana au unamtu wako mkuu wa intelejensiaAcheni upumbavu basi
Yaan ina maana CCm tumeishiwa kiasi hiki hadi kupendekeza majambaka?
Britanicca
Mbona UMepanic sana au unamtu wako mkuu wa intelejensiaAcheni upumbavu basi
Yaan ina maana CCm tumeishiwa kiasi hiki hadi kupendekeza majambaka?
Britanicca
Wewe mzee hueleweki kabisa. CCM upo na upinzani upo. Chagua mojaNaunga mkono hoja, angalia tarehe ya bandiko hili Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Mfyuuu....1Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana.
Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu.
Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana.
Wasalaamu.
Ndugu huyo jamaa hananfuture kwenye siasa ataishia kwenye uteuzi tu ila bungeni atakuwa anawaangalia wenzake tu.Mkuu Arusha alijiandaa mapema mpaka akawalisha nyama iliyofanyiwa manuva ili kuwapumbaza sema uzuri watu wa chuga hasa vijana ni watumiaji watiifu wa miraa dawa za kichawi huwa zinadunda ila kwa kuwa alishamchafua Gambo na kuwaandaa wajumbe ili wamkate Gambo ili asimame yeye kwenye kugombea ubunge ukizingatia hatuna uchaguzi huru ila ukishapitishwa na ccm wewe tayari umeshinda.
Hivyo kajamaa katashinda na kakitua bungeni tu kanapewa uwaziri wa wizara flani nyeti.
Hii nchi bila katiba mpya na tume huru tutabaki hivi mpaka Yesu arudi!
Makonda ni mtu makini sana na ana hofu ya Mungu tuache majunguNchi imeishiwa watu hadi mnaokoteza majambazi na wauaji kama Makonda na Sabaya.
Ina maana mmesahau tabia za huyu mwizi...mtu haachi asili yake.Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana.
Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu.
Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana.
Wasalaamu.
Tulisema huyo shoga muuaji hawezi kuwa Wziri Mkuu. Jipige kifua mara 3 sema mimi ni pimbiNeno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana.
Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu.
Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana.
Wasalaamu.
😆😂🤣🤣 Naunga mkono hoja. Afanye kama ulivyosema.Tulisema huyo shoga muuaji hawezi kuwa Wziri Mkuu. Jipige kifua mara 3 sema mimi ni pimbi
Upo kamanda?😆😂🤣🤣 Naunga mkono hoja. Afanye kama ulivyosema.
Nipo kamanda. Nimefurahi lile jamaa lilivyokosa u-PM lililokuwa linaufukuzia.Upo kamanda?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Naunga mkono hoja, angalia tarehe ya bandiko hili Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na hili Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!, na hili Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
P
Ubunge wa Arusha kapata, lakini kwake utakuwa mgumu sanaMkikosa vitu vya kuandika ni bora mkae kimya, sio mnatuletea upumbavu wenu. Kilichomkuta Kigamboni ndio kitamkuta Arusha
Jana nilimuona alikuwa analilia chooni pale bungeni.Nipo kamanda. Nimefurahi lile jamaa lilivyokosa u-PM lililokuwa linaufukuzia.
Na akilia lile domo lake anavyoliweka sasa! 😂🤣Jana nilimuona alikuwa analilia chooni pale bungeni.