Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

Mkuu Arusha alijiandaa mapema mpaka akawalisha nyama iliyofanyiwa manuva ili kuwapumbaza sema uzuri watu wa chuga hasa vijana ni watumiaji watiifu wa miraa dawa za kichawi huwa zinadunda ila kwa kuwa alishamchafua Gambo na kuwaandaa wajumbe ili wamkate Gambo ili asimame yeye kwenye kugombea ubunge ukizingatia hatuna uchaguzi huru ila ukishapitishwa na ccm wewe tayari umeshinda.
Hivyo kajamaa katashinda na kakitua bungeni tu kanapewa uwaziri wa wizara flani nyeti.
Hii nchi bila katiba mpya na tume huru tutabaki hivi mpaka Yesu arudi!
Sio kajamaa sema jemedari Paul Makonda PM mtarajiwa
 
Vipi kulikuwa na mlipuko mkubwa sana nini ndan ya chama?
Mkuu hili la milipuko limenichekesha. Juzi Kuna watu walinimind sana, leo umetokea mlipuko mwingine mkubwa sana, bahati nzuri mwandishi wa serikali ya Iran alikuwepo, alipokuwa anaripoti alisema hivyo hivyo kuwa mlipuko ni mkubwa sana
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Baba keagan bwana. Naona unajipa promo.

Kama tu kumtia mimba mkeo umeshindwa hadi wachina wakakusaidia, utaweza uwaziri mkuu? 😁😁😁😁😁
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Huyo shoga hawezi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Yaani apewe sababu ya trako kubwa tu?? Watu mna mizaha sana
Screenshot_20250627_144250_WhatsApp.jpg
 
Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika.
Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana

Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii ulioandaliwa kwayo si rahisi na si kwa nguvu zako wala ujanja au maarifa ulionayo ila ni kwa sababu ya kilichoandaliwa mbele yako kama Yusuph kayatimize yote kwa utukufu wa Mungu

Nikipata nafasi nitakufahamisha juu ya huu unabii nilioonyeshwa kwako ingawa sio mtumishi wa Mungu bali muhumini nisiyestahili hata kuliita jina la Bwana

Wasalaamu
Usimlinganishe Yusuf wa BIBLIA ambaye hana mikono ya damu za waisrael wala kunyima wengine haki ya kuishi.... na wahuni, wanaoishi kwa maumivu na damu ya wengine na PhD za kujipendekeza kwa watawala
 
Uwe na adabu ewe mtoa mada. Usimlinganishe Yusufu wa kwenye Biblia na jambazi Makonda. Tafadhali Sana. Huyo atashabikiwa na wajinga wasiojua kitu.
 
Kwa kweli mtanange ni mkali ccm ...tayari mmeshaanza kuwaza makonda kuwa ndiye Waziri mkuu ajaye
 
Back
Top Bottom