Yusuph Makamba yu wapi?

Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!
Alionekana Igunga wiki yote iliyopita
 
Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!

Mbona aliaga toka wakati ule. Kwamba anakwenda kuwatengenezea Makao wenzake. Yawezekana RA keshafika huko!
 
Kwa kweli nikisikia mwanangu anataka kuwa mwanasiasaa ntamlaani jamani
hili la mhuyu mzee limenihuzunisha sana sana akuna alieamini kama ipo siku
mh yussuf makamba atakuwa kimya kabisa kwenye anga za siasa
nauliza wapi yussuf makamba??

Babu huyu alidiriki kutukana watanzania na kuamini chama chake ndicho
chaguo la mungu baya aliamua kutumia biblia kudanganya watu hakika siamini
nauliza wapi yussuf makamba??

Makamba huyu aliesema akuna wa kumwondoa chamani hakuna wa kumgusa
wale wabaya wana muda wao ukifika watamwacha ,,wapinzani wanapitisha
wahuni ccm ili wanione mbaya lakini nawaambia nguvu za allah sitotoka hapa
naulzia wapi yussuf makamba??
 
Back
Top Bottom