Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!
Mbona sikuelewi na hii post yako, umesema aula halafu unatuuliza anafanya nini sasa tukueleze nini??? acha
kujaza kurasa na post zisizokwa na maana humu..
Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!
Amekua mshauri wa karibu wa Nape na Kikwete J.M ktk maswala ya kisiasa na pia mara kadhaa ametumika kuandika taarifa za kitaalamu juu ya Mwenendo wa kisiasa wa chama chake cha Ccm.
Jamaa/Yusuph Makamba Ret.CAPTN. amekua ndio kiCHWA cha kuaminiwa ktk chama chake na inasemekana ndio mfano bora wa kiongozi alietukuka.
Ameshaanza kupiga mswaki siku hizi? Binafsi naamini alikuwa hafanyi hiyo huduma ili kukoleza uvundo wa kauli zake.