Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Jamaa ana matatizo ya moyo serious, kila muda yupo Agha Khanbd atakua anairecover afya yake
Hebu acha weweee! Alikuwa ana kesi ya uhaini huyu?Hahaha hata ya uhaini?! Kweli sheria zinamacho.
Broken ya kiwango cha lami.....kwi kwi kwi nimecheka duh! Si muandike kiswahili tu.He got a lot to speak.but he is a Tycoon.don't speak much.
Tumeshafanya makeup kwenye korosho roho nyeupeeeee.mtaelewa kwa nn bei ya mbaazi sh. 350.
usicheze na wahindi
Sio karibia, zooote kawabwagaMbona kaachiwa karibia kesi zote!
hao waliomfanyia nao watafanyiwa, 2025 ni keshokutwa tu, kwanza tunaanza na huyo aliyeuza nyumba za serikali akiwa waziri, manake hapo hatakuwa na kinga,Alijisahau saana huyu, akafikiri hapa India kumbe wenye nchi Yao wapo wanamchora tuu.
Kila mtanzania sasa hivi anaomba dua kuomba matokeo yatokee yanayomfurahisha yeye na familia yake.Udiwani, Uenyekiti klabu ya Yanga, Umiliki wa yale makampuni makubwa.
Siku hizi hata magazeti yame msusa.
Yusufu Manji naye kasusa kabisa?!
kwasababu was not found guilty, akili zetu zote sisi wa hali ya chini tunazipeleka kwenye kuikomoa Yanga. Chanzo cha kuyumba kwa club ya Yanga ni yaliyomtokea Manji. Biashara za Manji hazina tofauti kubwa kiundeshaji na zile za Mo na matajiri wengine nchini katika kipindi cha awamu ya nne, lakini Mo yuko salama usalimini na Simba yake. Sisi mambumbumbu mzungu wa reli tunaona factor ni Yanga na Simba.Kanyooka
Kilichokufurahisha nini? Hangaikeni na mambo yenu, mumuache atulie afanye yake. Si mnawatengeneza matajiri wengine, endeleeni ***** zenu.JELA MCHEZO ?? MDOMO WOTE KWISHNEY, HAWEZI KUUCHONGA TENA KWENYE VYOMBO VYA HABARI !!!!!
Umenyooka wewe usiejua kesho yako!!Kanyooka
Magufuri kaingiaje tena? Mnamuulizia Manji au JPM!!magufuli anajisimbua tu hamuwezi manji
hao waliomfanyia nao watafanyiwa, 2025 ni keshokutwa tu, kwanza tunaanza na huyo aliyeuza nyumba za serikali akiwa waziri, manake hapo hatakuwa na kinga,
HAJAWAHI KUUZA NYUMBA BALI ALIELEKEZWA NA SERIKALI AFANYE HIVO. yeye hakuwa serikali hata wewe ungeweza kuambiwa ufanye hivyo kama yeye alivyofanya. kabla ya kuuzia watumishi maskini wanaongojea pesa ya kuustafu ndio ajenge serikali iliuza nyumba zake za NHC je wale waioziuza hatua gani zichukuliwe, MBONA UPANDE HUU HUULIZWI AU SIO ZA SERIKALI AU KWA VILE NANYI MATAJIRI MLIUZIWA NDIO HAMUONI?hao waliomfanyia nao watafanyiwa, 2025 ni keshokutwa tu, kwanza tunaanza na huyo aliyeuza nyumba za serikali akiwa waziri, manake hapo hatakuwa na kinga,