Yusufu Manji kasusa kabisa?!

Yusufu Manji kasusa kabisa?!

Hebu acha weweee! Alikuwa ana kesi ya uhaini huyu?
Walimkuta na majora ya vitambaa vya kombati za jeshi, na kombati 250 kwenye Goodown lake, wakasema ni muhaini, serikali ndio walisema sio mimi.
 
Kasababisha kufa kwa uchumi wa wakulima wa mikoa minne iliyokuwa ikitegemea kilimo cha mbazi.
Serikali pamoja na kelele nyingi na kuonesha ina nguvu na uwezo, imeshindwa kuwatafutia soko la mbaazi wakulima wa mbaazi. Wenye akili watasema, naninameshindwa katika ile bita, katinya serikali na Manji.
Kwanini wasiwafuate wanunuzi waliokua wakinunua mwanzo?! Kwani Manji aliwakataza pia, au walisusa baada ya Manji kuwekwa mahabusu?!
 
hao waliomfanyia nao watafanyiwa, 2025 ni keshokutwa tu, kwanza tunaanza na huyo aliyeuza nyumba za serikali akiwa waziri, manake hapo hatakuwa na kinga,
Hahaha sasa atakuwa na kinga ya rais, hata kivuko hewa hamtampata
 
Kila mtanzania sasa hivi anaomba dua kuomba matokeo yatokee yanayomfurahisha yeye na familia yake.
Simuombei mabaya Manji, nauliza mbona kimya hata kwenye udiwani hayuupo. Club ya yanga hajarudi au ugonjwa?!
 
kwasababu was not found guilty, akili zetu zote sisi wa hali ya chini tunazipeleka kwenye kuikomoa Yanga. Chanzo cha kuyumba kwa club ya Yanga ni yaliyomtokea Manji. Biashara za Manji hazina tofauti kubwa kiundeshaji na zile za Mo na matajiri wengine nchini katika kipindi cha awamu ya nne, lakini Mo yuko salama usalimini na Simba yake. Sisi mambumbumbu mzungu wa reli tunaona factor ni Yanga na Simba.
Hahaha huko ndiko alitusaidia, unadhani tungeangalia wapi tena?! Wengi tumemfahamu Manji ndani ya yanga huko kwingine ilikuwa nyongeza.
 
HAJAWAHI KUUZA NYUMBA BALI ALIELEKEZWA NA SERIKALI AFANYE HIVO. yeye hakuwa serikali hata wewe ungeweza kuambiwa ufanye hivyo kama yeye alivyofanya. kabla ya kuuzia watumishi maskini wanaongojea pesa ya kuustafu ndio ajenge serikali iliuza nyumba zake za NHC je wale waioziuza hatua gani zichukuliwe, MBONA UPANDE HUU HUULIZWI AU SIO ZA SERIKALI AU KWA VILE NANYI MATAJIRI MLIUZIWA NDIO HAMUONI?
Waliouza washitakiwe wote. Hata yeyeanaguswa. Ukitumwa kuua na ukatekeleza, huwezi kusema uhusiki, wewe ndio muhusika number moja.
 
Hahaha huko ndiko alitusaidia, unadhani tungeangalia wapi tena?! Wengi tumemfahamu Manji ndani ya yanga huko kwingine ilikuwa nyongeza.
sisi wengine tunafahamu biashara za kihindi zote ziko hivyohivyo kama za manji tangu akina Gulamali, Azim na wengine.
Walimkuta na majora ya vitambaa vya kombati za jeshi, na kombati 250 kwenye Goodown lake, wakasema ni muhaini, serikali ndio walisema sio mimi.
Mahakama iliamuaje?
 
sisi wengine tunafahamu biashara za kihindi zote ziko hivyohivyo kama za manji tangu akina Gulamali, Azim na wengine.

Mahakama iliamuaje?
Nasikia waliyatupa wakafuta kesi zote
 
Back
Top Bottom