Let's talk issues thenLet's talk issues,forget the topic doesn't help us.
You take what smatter to you,Let's talk issues then
TumekujaNgoja waje
Karibuni tunafuraha mnefikaTumekuja
It is scary to be smarter nowadays, smart people are called thieves nowadays.You take what smatter to you,
Humjui Manji vizuri wewe.Udiwani, Uenyekiti klabu ya Yanga, Umiliki wa yale makampuni makubwa.
Siku hizi hata magazeti yame msusa.
Yusufu Manji naye kasusa kabisa?!
Kweli simjui/simfahamu nilichagiza mnaomfahamu mtuambie nini kinaendelea huko?! Uduwani kasusa, yanga kasusa, hatumsikii hata quality group kawaje?Humjui Manji vizuri wewe.
Kaa utulie.
Hahaha sasa wameisha ona nguvu yake hawataki kuondoka, tukiingia nasisi tutawapa kesi nyingi kama viroboto lakini hizi zao hazitakuwa fake! Wanadhambi nyingii.hapo ndo utajua watu weusi tunapenda mambo ya kukomoana walimpa kesi nyingi bila sababu za msingi hii katiba ya Nchi mbovu sana kuna watu imewapa Umungu sana
Inaonekana kamuweza sasa maana kamdhoofisha kila kona kwa kesi fake, magufuli anapenda kushinda na ukimshinda kwa hoja hutafuta hata chochote kiwacho kukuadhibu mpaka umpishe, hajali ni haki au kavunja sheria, ilimradi aonekane kakushinda.magufuli anajisimbua tu hamuwezi manji
Hahaha Makonda aliuchukuaIle Yanga Yetu limited, aliwapa uwanja kigamboni umefikia wapi